Niulize swali lolote kuhusu 50 cents.

Niulize swali lolote kuhusu 50 cents.

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,900
Reaction score
37,696
Ni mshabiki mkubwa sana wa muziki wa Curtis James Jackson a.k.a 50 Cents. Nimeanza kufuatilia muziki wake na habari zake toka mwaka 2000. Kama wewe ni mshabiki wa 50 Cents pia na kuna mambo unataka kuyajua kumuhusu, just ask me now. KARIBUNI SANA.
 
mara ya kwanza Eminem kukutana na 50 Cent ilikua wapi? kabla 50 Cent hajakutana na Eminem alikua ana albam ngapi mkononi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom