LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,349
- 36,303
NIMEIKUTA MTANDAONI HII
Zile tetesi kwamba muigizaji wa Bongo Movie, Jackline Wolper Massawe, kuwa ni msagaji, zinazidi kuota mizizi. Hii ni baada ya Jacline Wolper kuonekana huko Instagram akiwa katika pozi la kimahaba na wadada watatu ambao wanafahamika kama wasagaji maarufu jijini Dar Es salaam.
Picha hizo ambazo zimesambaa kwa kasi huko Instagram na whatsapp, zinamuonyesha Wolpr akiwa na wadada watatu wanao fahamika kwa majina ya : CBH, MWAMBA na BABILONE ambao wanaelezwa kuwa wasagaji maarufu sana jijini Dar Es salaam. Juhudi za blogu hii kumtafuta Jackline Wolper ili aelezee uhusiano wake na wadada hao zimegonga mwamba hasa baada ya simu zake zote kuwa zinaita bila kupokelewa. Bado tunafanya juhudi za kumtafuta Jackline Wolper, na tutakapo zungumza nae, tutawaletea taarifa kamili.
BLOGU HII INAKEMEA VIKALI VITENDO VYA KISAGAJI AMBAVYO MBALI NA KUWA VIMEKATAZWA KWENYE VITABU VYOTE VITAKATIFU, LAKINI PIA VINACHANGIA KATIKA KASI YA MOMONYOKO WA MAADILI SANJARI NA KUENEA KWA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI NCHINI TANZANIA.