Saa kumi na moja na nusu usharudi kutoka kazini au wewe ni mfanyabihashara? Ndio maana wapenzi wa hizo ni madada mda mwingi wapo home mkata mkaa kama mimi nipo minjingu ntapata mda kweli saa kumi na moja na nusu wakati shughuli zangu nafunga saa moja kamili?