Naomba wimbo wa 'wewe ndio doctor wangu' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba wimbo wa 'wewe ndio doctor wangu'

Discussion in 'Entertainment' started by Castle, Nov 28, 2008.

 1. Castle

  Castle Member

  #1
  Nov 28, 2008
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 87
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  habari za wakati huu wakuu,
  shida yangu ni wimbo wa 'wewe ndio doctor wangu' naupenda lakini sina nataka niweke kwenye pc yangu ili niwe nasikiliza wakati nafanya kazi zangu.
  thanks
   
 2. Bowbow

  Bowbow JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2008
  Joined: Oct 20, 2007
  Messages: 545
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Neda hapo kwenye JF Bongo flava utaupata
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  huo wimbo(mwimbo?) nimeusikiliza mhhh ngumu sana kuusikiliza ukiwa na mkweo.....
   
 4. alex Cobrah

  alex Cobrah Member

  #4
  Oct 6, 2014
  Joined: Jan 31, 2014
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani uliimbwa na nani?
   
Loading...