Mansu Li katika ubora wake

Mansu Li katika ubora wake

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Ingawa kuna msemo kuwa "anayejua anajua tu", ila kwa huyu Underground King toka Sinza napata wasiwasi kama atakuja kuandika line kali kama alizoandika katika wimbo wa Mchizi Wangu Remix.
Line zenyewe ni hizi hapa chini;

"..ni mmoja kati ya kumi, uniafaaye kwa hali duni/
unayejari utu, na siyo hizo thumuni/
mwamvuli kwenye mvua, kivuli kwenye jua/
sina cha kukulipa, zaidi ya njema dua/
sometime mitikasi inafanya hatuonani, lakini usihofu siwezi poteza imani/
moyoni we ni mchizi, si leo tu tangu zamani/
na huu ni waraka wako, basi nisome hewani/
if i die before i wake, u should know your ma best/
don't cry because of my death, what to do cover my place/
rithi kilicho changu, jari huu utamaduni/
wewe ndo mchizi wangu kati ya hawa kumi/.."

Nadhani hapa ule msemo wa "once in a lifetime" ndo utahusika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom