The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,151
- 20,076
Itabidi turudi shule kujifunza kingereza upya,walisikika baadhi ya watu waliokua kwenye show ya fiesta.
Hii ni baada ya umati mkubwa wa watu waliokuwepo kwenye show hiyo kuambulia patupu nyimbo alizoimba mwanamuziki wa kimarekani,T.I.,wengi wanasema waliambulia niga,mother fu...ker,yeah,bi.tch na kulaumu kwamba wamepoteza hela yao mtu mwenyewe waliemtegemea kaimba kingereza kigumu ile hatari.
Waalimu wa kingereza changamkieni fursa mfundishe kingereza cha T.I.