Hizi NA NA zina maana gani ?

Hizi NA NA zina maana gani ?

Lumbi9

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
8,747
Reaction score
12,463
napenda mziki, na naufuatilia kiasi chake lakini bado sijaelewa hizi NA NA katika nyimbo zina maana gani.
Rihann- What's My Name
Trey Songz- Nana
J Martins- Touchin Body
Ianya- Kukere
Brackets- Nana
Oskido- Nana,
Na nyimbo nyimbo nyingi sijazikariri, sasa je, hizi na na zina maana yake au ni swagga tu
 
vionjo hivyo hahahaaa kama trey song na linyimbo lake Nana naaaaa
 
tafuta nyimbo za DJ Arafat ndio zake vionjo kama hivyo
 
Back
Top Bottom