wale wanaoenda kumuona T.I kesho kwenye Fiesta, kuna Terms and Conditions wameandika kwenye tiketi zao.
Hivyo ni vema ukazijua kabla ya kwenda ili ikitokea bahati mbaya majanga usije kuwalalamikia.
Kwenye tiketi wameweka nyuma kwa herufi ndogo
1. The organiser and its agents shall not be liable for any loss, injury or damage within the premises
2. In the event of the concert cancellation due to rain, the event organisers will not be liable for any refunds on ticket
hizo ndo za muhimu sana nilizoziona ambazo lazima ujue, japo kuna nyingine pia wameweka