sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,276
- 976
Habari wanaJF;
Wapenda burudani wote nadhani mnafahamu kuhusu hili tamasha kubwa linaloendelea katika mikoa kadhaa ya Tanzania, linaloitwa Fiesta. Ukisikiliza matangazo ya Radio Clouds ambao ndio waandaaji na hata hapa JF wanasema kwamba kilele cha Tamasha hilo ni tarehe 18/10/2014 pale Leaders club, na kwamba mburudishaji mkuu atakuwa Mwanamuziki wa kimarekani aitwae T.I..
Katika pitapita yangu kwenye mitandao nimeona ratiba nzima ya T.I kwa mwezi October, hakuna sehemu wameandika ana'tour Dar es salaam Tanzania, mwaka huu au ujao.
Hawa clouds wameongea na T.I gani?? Au wamemchukua kwa dili kama wanavyofanya kwa mamburura ya Kitanzania yasiyojitambua...
Check hapa #T.I. Full Concert Listings on Songkick | Songkick..
Inawezekana hyperlink ikagoma si mtaalamu sana wa teknolojia ila jaribu ku'google pia.