Muziki wa kizazi kipya usiochuja

Muziki wa kizazi kipya usiochuja

kijumbamshale

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2011
Posts
267
Reaction score
88
Wanasema bongo flava ni kama Big G ukisikiliza miezi mitatu tu utamu kwisha, lakini naamini kwamba kuna bongo flava ambazo kiukweli haziishi hamu kusikiliza.

Nia ya kuanzisha thread hii ni kuwaomba wadau tutupie nyimbo ambazo tunaona ni everlasting ili niweze kuzikusanya pamoja na kuzitupia youtube kwa ajili ya watu kufurahia ladha hiyo.

Itapendeza sana kama unaweza kutupia jina la wimbo na attachment yake chini kama unao au kama huna basi tupia wimbo wadau wengine wenye wimbo huo wanaweza kutusaidia kuutupia hapa.

Keeping the good music alive !

Upload naona imekua ngumu

Mimi naanza na

Mtazamo - JMo Professor J na Afande Sele
 
Nalivua pendo - Mwasiti

Nyakati za mashaka - nikki mbishi

Rita - Marlaw

Asha - T.I.D
 
Ni song moja tu ambalo halitochuja kichwani mwangu, Chati wa Balozi akiwa ubalozini, nyingine chenga chenga mara diamond mara Rita
 
Wimbo ambao ni timeless na hautavuja miaka nenda miaka rudi ni Zali la mentali-Prof. J, kila mtu anajua hilo. Ni kama Thriller ya M.J sasa hii ni ya Tz.
 
Immam abbas ft juma nature-mitaa ya kati 2.xplastaz-kamba ngumu 3.j mo ft fa-ingekua vipi
 
Hatumo-Rose Muhando,imenyooka kweli hii nyimbo...
 
Back
Top Bottom