The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,264
Teamo, Hili neno Aliimba Rihana bila shaka inafahamika na wengi alikusudia nini.
Mbaya zaidi na kwa mtu naye muheshimu kama AY naye akaja kulirudia.
Pia nimelisikia katika wimbo wa Banana Zoro na Young Killer
HIVI WASANII WETU WANAKIJUA WANACHOIMBA AU WANAOKOTEZA TU MANENO?