Namtafuta huyu mdada

Sometimes ukiona unamtafuta mtu humpati basi ujue Mungu kakuebisha na balaa kubwa !!! ushukuru then achana naye kabisa!!!
 
Mhh, Naona utakuwa umechoka kukaa hapa Duniani, huwezi kuwa na mawazo ya kumtafuta huyo mdada...
 
du ni noma huyu dada kanifanya niende viwaja kwa sababu yake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mbona vitisho vingi?
nipeni namba yake nijitoe mhanga wakuu


Nikweli mazee kama unaitaka pepo Usiogope kufa ni sawa na nzi kufia mzogani .number yake nii hii hapa tusitakane muhali 0783573614.
 
Astaghfurrillah..

Hivi haya ndo mambo ya rusha roho ..vidole juu? Huu si ndo ukafiri wenyewe huu? Laanatul shetwan bin Ibilis
 
Astaghfurrillah..

Hivi haya ndo mambo ya rusha roho ..vidole juu? Huu si ndo ukafiri wenyewe huu? Laanatul shetwan bin Ibilis
Washa’ngaa nini mpemba? Mambo yenu ndio mlioyaleta mmewaharibu wabara…..b4 walikuwa watu wazuri wenye tabia njema……shindweni na mlegee
 
Msituletee mambo ya matusi ya ze utamu nani anajua nyie kama hamna ukimwi,upuuzi mtupu kuanika picha za watu kwenye links behave please
 
Back
Top Bottom