Filamu ya Diamond Platinumz Chuo Kikuu cha Florida, Marekani

Filamu ya Diamond Platinumz Chuo Kikuu cha Florida, Marekani

Filipo Lubua

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2011
Posts
339
Reaction score
579
Jamani, Kiswahili kinachanja mbuga kimataifa, na ni jukumu letu kukifikisha mbali zaidi. Hawa ni wanafunzi wa Kiswahili waliosoma kwa wiki takribani sita katika chuo Kikuu cha Florida, nchini Marekani. Itazame filamu hii fupi, na utaburudika bila kikomo:

Last edited by a moderator:
Wapo serious kwa kweli.Wiki sita tu wanaweza kuongea kiswahili bila shida!!!
 
Hahahaha I miss such classes! Nje bwana unasoma kwa raha!
Hivi hicho kiswahili nanyie mmesikia kilivyo na mvuto wa mapenzi i.e. sexy au mimi itakua nimezidiwa tu na upweke?
 
Hahahaha I miss such classes! Nje bwana unasoma kwa raha!
Hivi hicho kiswahili nanyie mmesikia kilivyo na mvuto wa mapenzi i.e. sexy au mimi itakua nimezidiwa tu na upweke?

Haha! Nadhani ni upweke wako tu ndugu yangu!
 
Kuna mmoja ana ---- la ukweli kama mademu wa kigogo.......
 
diamond ni kiboko yaooooo!!!!! angalia hata wazungu wanaelewa diamond ni msanii mkubwaaaaaa!!!! diamond afanye nini ili mjue yeye sasa ni ngazi nyingine....mpaka university of florida wamemtukuza kwa kumtengenezea movie...the guy is in another step...
 
Back
Top Bottom