Alama za ufaulu wa show ya fiesta 2014

Alama za ufaulu wa show ya fiesta 2014

Mzanzibar Halisi

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2014
Posts
284
Reaction score
106
Ali Kiba 97%
Mwana Fa 94%
Weusi 91%
Mr blue & B.O.B 83%
Stamina 71%
Diamond Platnumz 65%
Ommy Diampoz 62%
madee &Tip Top 58%
Young Killer 50%
Yamoto band 47%
Chege &Temba 42%
Ney wa Mitego 30%

International
T.I 88%
Davido 70%
Victoria Kimani 50%
Waje 43%

HAWA AKINA
Recho
Barnaba
Shaa
Linah
Makomandoo
Vanesa Mdee
Next time msiwalete wanatuibia hela zetu tu bado hawajakizi viwango.
Ruhusu kufanya masahihisho kwa alama anazoona zina makosa.
 
hakika aly kiba kwa kile nilichokishuhudia alimkalisha diamond. Pamoja na back up ya chege na ney bdo hakufua dafu kwa aly kiba na hatimaye diamond aliishia kuzomewa.
 
Mkuu mbona ndomo umemweka nafasi asiyostahili.
Ile hali ya kuzomewa tu, inampa sifa zote za kuwa mshika mkia.
 
diamond kazi anayo bado KILI MUSIC AWARD

sijawahi kuipga kura ila ntapiga na ntachukua hadi ya mume wangu tupige
 
kwa hao international artists..waje anatakiwa awe wa pili baada ya t.i
 
diamond alistahili zaidi ya hyo uliyompa
..ubunifu mzuri
..kucheza
nyimbo nzuri..
tatizo lilikuwa response kdg kutoka kwa mashabiki nalo si tatizo kubwa kumbukeni fally ipupa alirushiwa chupa za maji arusha lkn bado ni msanii mkubwa
 
Ndo kazi za vijana kupenda starehe kuliko kazi.
 
Back
Top Bottom