masalamashaka
Member
- Oct 13, 2014
- 21
- 8
Jana,katika kesi iliyokuwa na mvuto mkubwa duniani..Mwanariadha Pistorious anayedaiwa kumuua mpenzi wake bila kukusudia huko South Africa siku ya wapendanao mwaka jana..amehukumiwa miaka 5 jela.
Ukirudi hapa kwetu,yupo msanii Elizabeth Michael(Lulu) ambaye ana mashtaka yanayataka kufanana na ya Pistorious na hata ya Lulu kuwa makubwa kidogo..
Je unalichukuliahlje hili?
Ukirudi hapa kwetu,yupo msanii Elizabeth Michael(Lulu) ambaye ana mashtaka yanayataka kufanana na ya Pistorious na hata ya Lulu kuwa makubwa kidogo..
Je unalichukuliahlje hili?