Mwishoni mwa mwaka huu kumetokea mambo kadhaa yaliyoleta msisimko mkubwa katika soko la filamu za kitanzania....
Issue iko hivi,Steps Entertainment ambaye anaaminika kuwa ndiye distributor...
Jamani wacheni utani, nimekatiza mitaa fulani hivi hapa Kimara, nikausikia wimbo wa malaw "pipii" ikabidi nisimame niusikilize nikajikuta napagawa nafuatisha ile mistari dah! Namkubali kichizi...
Ni ukweli kwamba bila jitihada sanaa haitakulipa. Msanii mwenye kuipenda kazi yake na mwenye dhamira ya kweli ya kuona matunda ya kazi yake, sharti ajitume sana ili afanikiwe. Nasisitiza...
Naongelea reality na sio ushabiki,nyimbo za huyu jamaa kiukweli hazinaga mvuto zimejaa masimulizi tu hazina vionjo wala nini hebu sikiliza wimbo wa cindelela,ya karimu,usiniseme,dushelele,na huu...
Wakuu bila shaka naufahamu wimbo USIZI uliopigwa na The Slaves. wengi wanadhani wimbo huu uliimbwa na Lucky Dube, lakini ukweli ni kwamba aliyeimba ni Thetukani Cele. Luky Dube alikuwa member tu...
Msanii Diamond Platnumz achaguliwa kuwania Tuzo za Hiphop Music Awards pamoja na msanii Ommy Dimpoz watagombea katika category ya East Africa Super Hit kwa nyimbo ya Ndagushima ya Ommy Dimpoz na...
Yeoooooooooooooooo! yaaah kama kawa naomba tujikumbushe hip hop za majuu zilinazo wika na zitaendelea kutamba katika ulimwengu wa muziki pendwa kabisa duniani namanisha mziki wa wakubwa hiphop...
Wakuu,
Heshima mbele.
Nimemaliza kuiangalia filamu ya vichekesho ya wamarekani iliyotengenezwa na kampuni ya sony. Filamu hii inahusu kipindi cha tv ambacho kilijizolea umaarufu mkubwa Marekani...
Ni majira ya saa kumi kasoro jioni nikitoka zangu Arusha narudi zangu Dar ninapoishi.. Kutokana na ugumu wa maisha, nimebakiwa na shilingi 3,200 tu mfukoni hapo nikiwaza chakula cha jioni pamoja...
'Habarini wana wa jamvi hili.
Nilifikiria nitupie jukwaa la lugha ila nikaona yafaa iwe hapa ila hata kama ni mtaalam wa lugha pia si mbaya kama utaweza kunifumbua macho nami nikafaham maana...
MASHAIRI YA YOUNG KILLER - DEAR GAMBE.
VERS 1;
Dear gambe umefanya maisha yangu ya yumbe,
MI nimpambe wako leo nimekutumia ujumbe,
MI ndugu yako nipe ukweli usini fumbe,
Uwepo wako karibu vp...
Yani msanii badala ya kuimba anapiga mayowe tuu huku akiwaelekezea mashabiki maiki. Kiufupi miziki ya kibongo bora kusikiliza redion lakin sio kwenda kutazama kwenye show!!
Sasa ninyi...
Jamani imefika wakati kuangalia vipaumbele vyetu japo msisitizo upo kwenye soka tusisahau vipaumbele vyetu na fani ipi angalau imeonyesha kutukubali! Pasi shaka burudani ama kwa kuigiza ama...