Msaada: wimbo "baba paroko" wa Francois Makkasy

Msaada: wimbo "baba paroko" wa Francois Makkasy

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,738
Reaction score
42,829
Nimejaribu kuu'search kwenye sites mbalimbali lkn zijafankiwa kuupata.. Mwenye nao naomba aniwekee hapa
 
Ndio kusema hakuna mwenye nao au!
 
umeutafuta wapi ukaukosa? hapa jf ulishajadiliwa mara kibao. Angalia HAPA.
 
jamani hata mimi nautafuta wimbo huo. huwa nilishawahi kumsikia live kwenye harusi akiimba huku akipapasa kinanda.
 
umeutafuta wapi ukaukosa? hapa jf ulishajadiliwa mara kibao. Angalia HAPA.

Mkuu kuna wimbo unaitwa I need some money kama cjakosea aisee nautafuta mno. Kuna jamaa alinambia wameimba chiko chikala ila nikiutafuta cupati. Msada tafadhali
 
Back
Top Bottom