Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kijana anaushawishi mkubwa sana, Mimi nadhani ifike muda tumtumie kuvuta wapiga kura au mnaonaje wadau. #MstahikiMeya
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Ifuatayo Ni Blog Ya DIAMONDA PLATNUMZ. wasafi.blogspot.com
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Aina hii ya filamu zinaonyweshwa ndani ya ukumbi maalumu wa sinema, ambapo watazamaji wanakaa kwenye viti vinavyotikisika kutegemea mlio wa kitu kinachoonekana kwenye screen,mfano mlio wa risasi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mapanki...tunakuja February 7, 2015. Usishangae kwa nini tamthilia itakuwa na urefu wa kama dakika 10 tu hivi. Kwa nini tumeamua tamthilia ya Mapanki iwe na urefu wa dakika 10 badala ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Sina uhakika lakini haya ni baadhi ya maneno Wazazi, wazazi nakonda na................... Mnanilazimisha kuolewa na mimi bado ni mdogo... miaka kumi na.............. Chorus Samahani, samahani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sitanii huyu mdada ananikuna mno kwa umahiri wake katika muziki (sio fleva). Ni muda mrefu sasa sijamsikia na bahati mbaya si kipenzi cha waandishi wa habari za burudani hivo hasikiki kabisa...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
BADO HAUJATOKA OFFICIAL ILA HUMU KAWASHIRIKISHA KINA ROGAROGA,LOFOMBO,SAMITSHITU,MA NDACHANT. KIBAO KIMEREKODIWA NAIROBI AMBAKO NDIKO ALIKOFANYA MAKAZI YAKE KWA SASA.. KULA VITU
1 Reactions
2 Replies
972 Views
Guys i need ur help natafuta link ambayo unaweza kuangalia latest movies online tu na sio kudowload ya kwenye simu kutoa youtube coz inaonyesha za mda pls kama mtu anajua bas accoment hapa au ani...
0 Reactions
0 Replies
625 Views
PopStar2015:New match-3 puzzle game launch now! How to play: 1: Tap 2 or more adjacent blocks in the same color to clear them. 2: In levels you can use booster tools to help you to clear the...
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Wanajamvi niaje.Naomba kujua hivi wimbo wa Rich mavoko pacha wangu una maana gani.Asanteni
0 Reactions
11 Replies
8K Views
MAPANKI, tamthilia ya kipekee inakujia hivi karibuni. Pata preview hapa : http://www.youtube.com/watch?v=Ysv6fSIhKqA Kwa habari zaidi: www. mapanki.com
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Eti kwa nyinyi mloenda leaders club 24/ 01/2015 ni kweli diamond & Ali kiba walizichapa? maana nilisoma kichwa cha habari cha gazeti moja kilisema; DIAMOND, ALIKIBA WAZICHAPA.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama wewe ni mfuatiliaji wa trend ya muziki hapa nchini utagundu hivi karibuni heshima ya diamond kimuziki imeshuka sana ila kinachoweka juu ni tetesi na magazeti na ni habari zisizohusiana na...
1 Reactions
48 Replies
7K Views
5. Barbie girl - Aqua 4. body to body - Chorus kutoka kwa Chris brown 3. Make it rain - Lil Wayne 2. I need a girl - Usher Raymond 1. We are the world - Chorus ya kwanza by Michael Joseph...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Thanks kwa wote walioni-check PM ntampa report jamaa. Na hata kama wee ni DJ,PROMOTER,MANAGER,PRESENTER au hata kama ni DIRECTOR sio mbaya ukimpa mwana support,YOU ARE WELCOME. Download...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba mnijuze website nzuri yaku download songs za bongo kwa free na rahisi kutumia simu
0 Reactions
4 Replies
12K Views
Dah!! Kweli jide safari hii umetuweza aiseeh na hii single yako mpya ya forever, wambea tumewazaa eeh na kuwazua ila hatujapata jibu kamili, ivi forever utakuwa umemwimbia nani? Gadner? Sidhan...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
Ni baada ya website ya Mdundo.com kutangaza wasanii bora wa Hip-Hop Tanzania kwa mwaka, huku Songa akishikilia nafasi ya Tatu, listi ikiwa ni 1= NIKKI MBISHI 2= ONE THE INCLEDIBLE 3= SONGA...
3 Reactions
34 Replies
15K Views
Back
Top Bottom