mangelengele
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 1,293
- 1,102
Jamani naomba niulize, ni studio gan/ producer gan wa mziki hapa bongo mwenye kiwango cha juu karibia na kimataifa, anayeweza kutengeneza miziki mizuri ya RnB, POP, RocknRoll na Soul? Anaitwa nani na Studio zake zpo wap? Nagharama zao zpoje kwa Audio moja? Co wale wanaojua Zouk na Afropop tu. Naomba nisaidiwe kwa hili wana JF