Mapondo Mapoka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 274
- 135
Moja ya vitu navyokua najiuliza bila majibu ni
pale napoangalia filamu za wenzetu mataifa tajiri/
duniani. Utaona wanatumia vitu vya thaman sana
kuigizia na wanaviharibu haribu mfano utakuta
vitu kama ndege za kivita na gari za kivita
zinaharibiwa na zaidi utaona watu wanavyokufa
kwa kwa vifaa vya kijeshi na mambo mengine
mengi. Je hua kunauhalisia wote hata kidogo
japo nikwel wenzetu wameendelea sana
kiteknolojia? Mwenye uelewa juu ya hilo naomba
anijuz