T.i.d amjibu q-chief

T.i.d amjibu q-chief

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,481
Reaction score
36,618
[h=3]TID kwa Q Chief : "Kaanzisha bendi yake ikwapi? hana hata gitaa vitu vyote kauza... am not stupid yeye ndio stupid,"[/h]
Baada ya siku ya jana kujibiwa na Q Chief juu ya coment aliyoitoa baada ya kuulizwa swali juu ya kilichopelekea kuvunjika kwa Top Band TID nae atoa yake ya moyoni,​
Q Chief aliongea mengi sana moja wapo ilikuwa ni kuhusu kutokusikia kwa Top Band ikifanya chochote kwa sasa na kumsihi TID aache unga, aangalie wazazi wake na familia yake kwa ujumla huku akidai kuwa yeye kashaacha unga, Tid amemjibu kwa kusema
"mimi ndio hela zangu, album yangu, yaani kitu changu yeye kaja kuomba kufanya kazi tu, namlipa kama mshahara wake tu sio kwamba yeye ni part of it hapana.hicho ndio alichokosea yeye, hio ndio tatizo lake,
yaani ... mi nataka watu wajue hivyo. ebwana yule kaja bana mi kuimba kuimba kwenye bendi yangu, sawa sawa, nimekuingiza kwenye album kwenye wimbo mmoja, tumefanya wimbo, nimeenda kwa muhindi mimi, nimechukua hela mimi, nimekukabidhi hela kama malipo yako, baadae eti unakuja kuniambia eti ebwana katika zile milioni kumi mimi bwana huwezi kunipa milioni kumi bwana sio kitu chako wala nini, yaani wewe ur just a featuring.hicho ndio kitu mi ninachomshangaa anachanganyikiwa."
mimi halafu nilivyokuwa mstaaru amenichukulia na polisi nini, anataka milioni nne, nikachukua hela nikampa kaanzisha bendi yake ikwapi? ana bendi sasa hivi? hana hata gita vitu vyote kauza, mimi ukija kwangu sasa hivi kuna kila kitu, hadi waya wa kuchomeka sijauzaaaa, hadi vile vya mwanzo na nilivyonunua tena vipya juzi uingereza sijauza am not stupid yeye ndio stupid. halafu yaani daah ebwana jamaa amenipakazia kweli rafiki yangu, hadi mama angu ametaka kulia, nimeenda nyumbani mi nilikuwa sijui heee umerudi mama sasa hivi, halafu mimi sasa nilikuwa nakazi natakiwa niende studio ku-record, yaani jamaa anazidi kunichengua ananitoa kwenye mood, mama akaniambia "ndio nini sasa," was like mom, nilikuwa nafanya interview tu Casto kaniuliza swali."

AUDIO HAPA :
http://www.djfettytz.com/2015/02/tid-kwa-q-chief-kaanzisha-bendi-yake.html

Wote wale wale tu hamna mtu hàpo CC; chige matumbo
Dah! Lakini nikienda mbele kisha nikarudi nyuma, nasikitika sana Top Band kutofika popote... manake hata leo nikiisikia NILIKATAA ft Blue... nabaki speechless! Sema ndo hivyo tena, TID mwenyewe kila kitu anajua yeye na kila kitu ameanzisha yeye kwenye bongo flavor... upumbavu mtupu! Q-Chilla na yeye, hana mpya lakini badala ya kukubali ameishiwa anatawa watu waamini eti amelogwa na Diamond... ka' si uzuzu tuite nini!!!
 
mateja wamekutana
Na huwezi kuwa mtu wa poda ukawa salama hata cku moja! Salute kwa poda nilitoa karibu miaka 15 iliyopita! Kuna mchizi kitaa, enzi hizo watu tupo skonga, tena O-level! Mchizi alipiga safari kadhaa za juu kwa juu kisha akarudi na mavumba ya kutosha! Nakumbuka tulikuwa tunamuita Big na alikuwa BIG kweli kweli! Mshenzi aliwasumbua sana kitaa... siku ya siku, miezi kadhaa baadae, nyuma ya nyumba yetu kulikuwa na baa... sasa hiyo cku jamaa alikuwa anapiga vurugu kishenzi, matusi kwa kwenda mbele... hatukulala yaani! Asubuhi, tunapata umbeya kwamba jamaa alizinguliwa sh.38,000/ (ELFU THELATHINI NA NANE)!!! Nikashanga kusikia BIG anaweza kuzi-mind 38K kiasi kile... kama unavyojua uswazi kwa umbeya, stori zikaanza Big kaishia Big kaishiwa... wengine sie ni matomaso... hatukuamini; kumbe kweli bwana! Sasa akaanza kupiga ngada wakati mfukoni hana kitu... ilichukua kama miezi mitatu mchizi jina lake kubadilika kutoka kuwa Big na kuanza kuitwa FIDO FIDO... uswahilini wagomvi! Na alikuwa Fido Dido kweli... kama yule wa kwenye chupa ya 7Up!!! Akaanza kuuza kitu kimoja baada ya kingine... akawa mchafu ile mbaya... akafikia kuiba hadi kuku wa kizungu akawatia kwenye viroba... ngada halina adabu hata kidogo... eti unaweka kuku wa kisasa wazima kwenye viroba!!!! Wote wakafa... Mwisho wa yote, mchzi akatutoka... aliuawa na bomu ya kurusha kwa mkono... alikuwa anashusha vyuma chakavu kwenye gari... akaona bomu! Mchizi akalichukua akawa analishangaa shangaa... unatarajia nini..., jamaa likamwesha on the spot!! RIP Ally... watu wa Kurasini wanamfahamu huyu!!
 
Hatari sana, R.i.p Big Fidodido
 
Hihihihihiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,miteja ikianza kuchambana unabakia kucheka tu,yaani kama mashori vile
 
Back
Top Bottom