Hivi wangapi mmeanza kuona Diamond kaanza kupotea

Hivi wangapi mmeanza kuona Diamond kaanza kupotea

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,377
Makali ya huyu kijana yameanza kuisha, sio muda mrefu asipojicheki atashuka hadi ajishangae, huu mziki hakuna anaekaa forever, walikwepo kina Mr. Nice, Juma Nature, Matonya, Hussein Machozi, Inspector Haroun na wengine wengi tu waliokwishawika, ila hakuna marefu yasiyo na ncha.

Kijana naona ni yeye na bata tu siku hizi, kilichomfanya ale hizo bata hakithamini tena, mziki kama soka, kijana asipojikaza atashuka tu hadi ajishangae.
 
rudi kitandani wewe bado usiku ujue...ni taa tu ndo zimewashwa zisikupe wenge
 
acheni mawenge yenu nyinyi na mtasubiri sana Mungu awajalie uhai tu...
1. mwaka umeanza ndio kwanza kachukuwa tuzo uganda last week
2. nitampata wapi ambayo ndio hit single yake kwa sasa youtube ina views zaidi ya 2.3m, ndio wimbo uliopakuliwa zaidi kwenye mkito.com tangu kuanzishwa mtandao huo, inafanya vizuri namba moja chati za muziki Tanzania MMC, na bado kwenye trace kituo kikubwa cha kimataifa kwenye Africa top 30 ni nyimbo pekee kutoka Tanzania na inashikiria namba 5, zaidi jana imepigwa kama smash hit...
3. bado kidogo iwe released nyimbo aliyoshirikishwa na linex 'salima' na bado kuna collable mbili za kimataifa pamoja na wimbo wake aliomshirikisha Fally ipupa zote kutoka kabla machi haijaisha...
4. Sasahivi yupo india kwaajili ya kumuuguza mama'ake na video shoot, na si vinginevyo...

SIDHANI KAMA UNAYAFAHAMU YOTE HAYA KAMA UNAYAJUWA NA UMEANDIKA UTUMBO NAKUSHAURI TU USIKATE TAMAAA KAMA KALA JEREMIAH NI UGONJWA WA WIVU WA MAENDELEO U FOOOO KABISA NA JITAZAME SANA KAMA NI MWANAUME.....
 
Ama kweli nimeamin duniani kuna watu wanafikiri kwa kutumia ubongo na wengine wanafikiri kwa kutumia 'makalio'...kama mtoa mada.
 
mtoa mada umeandika kwa hisia na jazba nn mbaya kwani? hahahahaha
 
Makali ya huyu kijana yameanza kuisha, sio muda mrefu asipojicheki atashuka hadi ajishangae, huu mziki hakuna anaekaa forever, walikwepo kina Mr. Nice, Juma Nature, Matonya, Hussein Machozi, Inspector Haroun na wengine wengi tu waliokwishawika, ila hakuna marefu yasiyo na ncha.

Kijana naona ni yeye na bata tu siku hizi, kilichomfanya ale hizo bata hakithamini tena, mziki kama soka, kijana asipojikaza atashuka tu hadi ajishangae.

Jamani hakuna kazi isiyo na likizo! mwacheni domo apumue
 
Ni starehe gan diamond anazo fanya katika wasanii ambae hayupo kwe starehe ni domo endelea kujidanganya na ndo mana hata ckub huez kumuona ivyo timu yake yote unaweza kuikuta club lakin diamond huez hata siku moja
 
Anajenga familia! Fedha kazi na mafanikio kiuchumi ni bure kama huna familia!
 
utasubiri sana..domo anajielewa kuliko unavoweza kudhani...we utakufa na presha zako
 
Never assume that every critic is a hater, not everyone is hating on you, some people are telling you the truth.
 
Ndo unacho omba kila siku? Keep dreaming.

Hata alipokuwa anakula Bata ...kuchoka ni lazima ...mnakumbuka world most ever famous entertainer Michael Jackson ...alichoka hadi akaanza kujificha ...na amekufa akijaribu kutumia Madawa ya kuongeza Nguvu na kapunguza maumivu hasa yanayotokana na mazoezi makali ya rehearsal Za kupiga matamasha ....amekufa anapigana ..
Hii Ina maana Sanaa ya miziki ni Kama sports kuna Wakati mwili hukataa hata UFANYeje .....kinatofsutiana ni nidhamu ...wenye nidhamu hudumu Zaidi

Msikiri ni kazi rahisi ku Perfom masaa mawili au Matatu ...bila kupumzika kwa muda Zaidi ya kubadili NGuo ....ni mazoezi magumu Sana acheni wale pesa maana ni kwa muda mfupi ........wanachoka viungo na mwili na Sauti ...Mapafu ....etc ..Ndio maana wengi hutumia Madawa ...
Mfano kwa uchezaji Kama wa Michael akipiga masaa mawili Anapoteza calories nyingi kuliko mwana soka ..wa kulipwa ..

Ndio maana diamond na wasanii Kama yeye lazima washauriwe kuwekeza ,.tofauti na Bendi ambayo hakuna kucheza kwa Nguvu ..Aina ya muzki wake unamaliza Nguvu ya Sauti na mwili Mapema ...hawezi kuendelea continous miaka 10 akiwika ....Ndio maana Mr Nice aliweza kuwika only ten yrs
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom