David Oyetokunbo Oyelowo, Hollywood hapana aisee!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,386
Reaction score
17,637
Film ya Selma ambayo kwa kifupi inaelezea maisha ya Martin Luther King Jr (Mmarekani na siyo Martini Luther Original wa kilutheri) yule mpigania Haki za Wamarekani weusi huko Marekani naona kama kwenye uchaguzi wa Muigizaji walichemka sana David Oyetokunbo Oyelowo hafanani wala haendani kabisa na Martini Luther King mwenyewe bora hata wangemchukua Will Smith, embu shuhudia mwenyew kushoto ni King mwenyewe na kulia ndiyo aliyechaguliwa kumuigiza!

Mhhh ngumu kumesa!
Labda ndio wameona anaweza kuuvaa vizuri uhusika.
 
Back
Top Bottom