Awena, Wimbo wa Kassim Mganga

Awena, Wimbo wa Kassim Mganga

upupu

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2008
Posts
614
Reaction score
198
Mpaka sasa kwenye sikio langu sijasikia wimbo mkali wa kuachwa wenye hisia kama wa Kassim uitwao Awena.

Jamaa kwenye huu wimbo amelalamika, amelilia mapenzi vibaya mno, yale mashairi yanaweza kukuliza kama umekutwa na tukio hilo.

Wadau kama kuna nyimbo nyingine kali nitajieni nizitafute,Mwezi wote huu nitaomboleza kwa kusikiliza nyimbo za kuachwa.
 
Mpaka sasa kwenye sikio langu sijasikia wimbo mkali wa kuachwa wenye hisia kama wa kassim uitwao Awena, jamaa kwenye huu wimbo amelalamika, amelilia mapenzi vibaya mno, yale mashairi yanaweza kukuliza kama umekutwa na tukio hilo.
Wadau kama kuna nyimbo nyingine kali nitajieni nizitafute,
Mwezi wote huu nitaomboleza kwa kusikiliza nyimbo za kuachwa.
Mmm,pole kwani umeachwa eeh?
 
Nimeachwa siku ya valentine
 
Mpaka sasa kwenye sikio langu sijasikia wimbo mkali wa kuachwa wenye hisia kama wa kassim uitwao Awena, jamaa kwenye huu wimbo amelalamika, amelilia mapenzi vibaya mno, yale mashairi yanaweza kukuliza kama umekutwa na tukio hilo.
Wadau kama kuna nyimbo nyingine kali nitajieni nizitafute,
Mwezi wote huu nitaomboleza kwa kusikiliza nyimbo za kuachwa.

Hii nyimbo naipendaga , jamaaa anajua sana kuimba. Poleee sana lakin
 
Mpaka sasa kwenye sikio langu sijasikia wimbo mkali wa kuachwa wenye hisia kama wa kassim uitwao Awena, jamaa kwenye huu wimbo amelalamika, amelilia mapenzi vibaya mno, yale mashairi yanaweza kukuliza kama umekutwa na tukio hilo.
Wadau kama kuna nyimbo nyingine kali nitajieni nizitafute,
Mwezi wote huu nitaomboleza kwa kusikiliza nyimbo za kuachwa.
Mbona ukii quote post yako I'd yako haitokezi, au ana I'd mbili @----- au I'd yako inavunja sheria za JF.
 
Nakushauri uachane na hizo habari za kutafuta nyimbo za majonzi.

Let your mind concentrate on other important things, as a man you have a lot of things to accomplish.

Love is a smallest part of your life. Relaxxxxxxxxxxxxx!
 
Acha @----- wewe tafta mwingine kwani lazima yeye.
 
Ina maana Id yako ni tusi Jf? Mbona jina lako halitokei au we ni jini nini
 
Kwani upuppu ni tusi??? Mbona mods wanali-censor hili neno likiandikwa linavyotakiwa kuandikwa?
 
Pole sna, hayo ndio mapezi it hve two prt kupendwa na kutendwa!! Relaxxxx
 
Mpaka sasa kwenye sikio langu sijasikia wimbo mkali wa kuachwa wenye hisia kama wa kassim uitwao Awena, jamaa kwenye huu wimbo amelalamika, amelilia mapenzi vibaya mno, yale mashairi yanaweza kukuliza kama umekutwa na tukio hilo.
Wadau kama kuna nyimbo nyingine kali nitajieni nizitafute,
Mwezi wote huu nitaomboleza kwa kusikiliza nyimbo za kuachwa.

Kuna wimbo unaitwa Maumivu niache...ameimba Khadija...ni hatari!!!
 
Kumbe umeachwa poleni sana punguza michepuko sasa
 
Back
Top Bottom