Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

HAVE A NICE DAY...LOVE YOU
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Bila shaka humu kuna underground artists so unahisi ipi ni changamoto kubwa zaid katika sanaa ya muziki?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni miongoni mwa wasanii wachache waliofanikiwa kumaintain kwenye game hii ya bongo yenye vikwazo kibao, ameweza kutoa nyimbo nyingi zilizofanikiwa kubamba kwenye Redio na Tv's ingawa sina hakika...
1 Reactions
26 Replies
9K Views
nahitaji hii series el cuerpo del deseo 2005 , kama kuna mtu ataweza kunitumia link nitashukuru. ilisharushwa na itv kipindi cha numa. asante.
0 Reactions
1 Replies
738 Views
Nimejaribu kuu'search kwenye sites mbalimbali lkn zijafankiwa kuupata.. Mwenye nao naomba aniwekee hapa
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Makali ya huyu kijana yameanza kuisha, sio muda mrefu asipojicheki atashuka hadi ajishangae, huu mziki hakuna anaekaa forever, walikwepo kina Mr. Nice, Juma Nature, Matonya, Hussein Machozi...
3 Reactions
31 Replies
6K Views
Enzi zetu, enzi hizo Tazara club, oh mama kidengune!!!!
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Zanzibar Ni Kwetu warns that a crocodile is not a pet! Therefore, don't play with one!
0 Reactions
0 Replies
863 Views
DOWNLOAD MIZIKI YA BONGO FOR FREE AU NUNUA ILI KUWAPA MOYO WASANII WETU WA BONGO. SEARCH MSANII UNAYEMPENDA NA KUPAKUA NYIMBO ZAKO..HIYO SITE NDO HABARI YA MJINI...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
V for Vendetta, ni filamu kali yenye inspiring political quotes. Its a never miss, unstoppable movie. EG “Artists use lies to tell the truth. Yes, I created a lie. But because you believed it...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kuna wimbo diamond alipatia sana ni ukimuona... Melody nzuri, beat nzuri na mashairi mazuri jamaa inabidi arudi kwa producer wa manecky. Sasa leo nimesikia guiter version kaimba bella ni tamu...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kama wewe ni mguswa wa wimbo wa Mdogo Mdogo wa Diamond, basi hapa chini ni video ikionyesha pilika pilika za utengenezaji video ya mdogo mdogo. http://youtu.be/3mD1Sv-p7cI
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nyota ya mwanamuziki Diamond platnumz inazidi kung'aa baada ya jana tareh 7/02/2015 kunyakua tuzo nyingine nchini Uganda. Diamond alishinda kipengele cha msanii bora wa Afrika Mashariki ambacho...
1 Reactions
41 Replies
11K Views
naombeni msaada jinsi ya kuangalia movie online nimejaribu youtube inagoma movie kama non stop na zingine hazi play
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Hawa jamaa wako vizuri, kila ngoma wanayotoa kali. Nasikiliza wimbo wao mpya 'Safari', ni nzuri kwa kweli. In short, game ya Bongo wanaiweza, watasavaivu muda mrefu wasipotengana!
1 Reactions
66 Replies
8K Views
Nyimbo mpya ya Diamond Chibu inayokimbiza town kwasasa ni special kwa Madam Wema na project part II ya Diamod na Wema; sikiliza kwa makini hiyo nyimbo utajua kitachofuata kwa vijana hao machari wa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Uongozi wa muziki nchini marekani unao muongoza msanii wa R&B Chris Brown umetoa taarifa kwa uongozi wa muziki Tanzania unao muongoza msanii kutoka Tanzania ALI KIBA msanii ambae yupo chini ya...
16 Reactions
107 Replies
19K Views
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=177707&d=1408090155 Mashairi:- Vuma We mama mkaa ndanii, Toka nje usikiee, Kutwa we kila siku ndanii, Toka basi usikiee. kuna habari...
0 Reactions
20 Replies
12K Views
Wakuu mwangalieni huyu dada, hivi ana mifupa kama ya kwetu kweli? http://youtu.be/wXQ7HaAsD5Y
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1.move bitch - Ludacris, mistycal an 20 2.all of above - Maino f. T Pain 3.in da club - 50 cent 4.make it clap - busta rymes f. Flip mob squad 5.back up - been man 6.fiesta-R.kelly...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…