TID-Sauti Ya Dhahabu

TID-Sauti Ya Dhahabu

Rawasen

Senior Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
181
Reaction score
73
Jamani Jamvini Naombeni Msaada Wa Nyimbo Ya Mrembo Na Siku Kama Hizi Za TID Kwenye Album Yake Ya Kwanza Iliyotoka 2003
Nazikibula Sana Hizi Nyimbo Nimeshaenda Wapsite Nyingi Bila Mafanikio Msaada Tafadhali
 
miye naitaji nyinbo za mr paul zikizipo katika ablam yake ya kwanza jiina la ile ablam ni NDANI YA LOVE
kuna nyimbo kama
ndani ya love
zuwena
buzi nk
 
Back
Top Bottom