WACHENGUAJI(ma-MC) MAHIRI WA WAKATI WOTE TZ

WACHENGUAJI(ma-MC) MAHIRI WA WAKATI WOTE TZ

b5-click

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
2,194
Reaction score
2,114
Udumu ujamaa..

Hip Hop ni Utamaduni wenye nguzo zake, njia moja wapo ya uwasilishaji wa utamaduni huu ni muziki.. Muziki wa RAP japo wengi tunaujua kama muziki wa Hip Hop..

Utamaduni huu Uliingia Tanzania mwanzoni mwa miaka ya tisini, je toka uanze kuishi katika utamaduni huu, ni wachenguaji gani ni bora zaidi kwako, taja watano tu...

Kwangu ni hawa..

1.Hasheem DOGO
2.Zavara Mponjika/Chief Rhymson
3.Jacob Makalla/JCB
4.Nash MC
5.One the incredible

Asie husika na HIP HOP atoke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom