klorokwine
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 378
- 33
Habari za week end wakuu?
Tafadhali Naomba kwa yeyote anaeweza kunitumia audio music compilation ya nyimbo za tenzi za rohoni,au link ambayo naweza download compilation ya nyimbo za tenzi za rohoni, naomba anipm niweze kumtumia namba yangu anitumie kwa whatsapp au hata akiweka link nita download.
Shukran wakuu.