kwa wapenzi wa online games

kwa wapenzi wa online games

stanb

Senior Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
153
Reaction score
19
Tafadhali ingia www.miniclip.com. Hapa utakutana na games nyingi, lakini nzuri zaidi ni ile ya 8ball pool,. hapa utaweza kucheza live na mwenzio kutoka pande yoyote ya dunia mkiwa online. Its 24hr game na watu huwa hawaishi online. Pia kuna free chat kwa yule unaecheza nae. Its well modenized. Karibuni nyote.
 
Ok mkuu tumekuelewaa..
 
Back
Top Bottom