Hivi Pharell William atachomoka kwenye hili?

Black Book

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Posts
228
Reaction score
209
Niaje wadau hope mpo poa kitu cha week end ndo hichi hapa just chillin getto na kusikiliza ngoma kali kinomanoma for sure mim ni kati ya majamaa ninaoamini "without music life will be a mistake" anyway nisiwachoshe na mboyoyo niende mazima kwenye hii ishu....

Pharell William kama wew ni mfuatiliaji wa mziki utakua unampata huyu jamaa moja kati ya sifa kubwa mtu mzima hazeeki kabisa muonekano wake wa tisini vile vile mpaka le. Mwaka jana mwishoni jamaa aliachia mzigo mpya "Happy" mbao umemrudisha kwenye game mpaka kumpa nomination na global award kibao fashion zake za makofia na dizain ya vile vibukta vyake mim hua sivielewi kabisa but some people they real love it na jamaa anaingiza mkwanja poa tuu kwa mambo zile..

Story ilianza mwaka jana december hivi ila right now kama imenoga kidogo hivi and bassically ni kuhusu ngoma yake ya "Happy" kwamba mzazi Pharell amekopi vitu kibao kutoka kwa mkongwe marehemu Marvin Gaye kwenye ngoma yake inayoitwa "aint that peculiar" nimechukua time yangu nkasikiliza track zote mbili karibu week nzima offcourse kuna mfanano mkubwa na utofauti pia.

Ikumbukwe mwaka jana Robin pia alipigwa faini ya dola million saba kwa kucopy bila ridhaa baadhi ya vitu vya Marvin Gaye kwenye ngoma yake ya "Bluered Line" na pia wapo wasanii mastaa kibao wanaochota chota kiujanja skills za mkongwe Marvin hata bila ya leseni na wanapiga pesa ndefu tuu.

Familia ya Marvin ipo mahakamani tayar kwa ajili ya kugumiana na pharell na kama itakua kwel pharell anaweza kupigwa faini ndefu sana zaidi ya ile ya Robin kwa ajili ya wasanii kuheshimu kazi za The Late Marvin..... So nawakilisha nikiowaomba wataalamu wa masuala ya melody na production watusaidie kwamba ngoma hizi mbili Happy ya Pharell na Aint that perculiar ya Marvin Gaye zinafanana au ni bla bla za kutaka kumshusha pharell???...

hope to learn so many thing from you thanks and stay blessed people!!
 
Hahahahaa...uzi mgumu mpaka umekosa wachangiaji...Au Wengi huku ni mashabiki wa Yamoto Band???
 
Tunashindwa kuchangia kwa sababu hili suala lipo mahakamani hivyo itakua si vyema kuingilia kazi za Muhimili mwingine teh.

hahahah mahakama za mbele zinaruhusu tuendeleze mijadala..teh!
 
Tunashindwa kuchangia kwa sababu hili suala lipo mahakamani hivyo itakua si vyema kuingilia kazi za Muhimili mwingine teh.

Haaaaahaaaa, lol,
Kweli swala halijadiliw coz liko mahakaman, tusubir maamuz huko wakat tukijifunza kilichoandikwa, mweeh
 
Wengi yamoto band kaka ila kweli first time when i heard that song nili realize kwamba i knew something was wrong kweli the idea ni ya Marvin gae
 
Hizo reports za Pharell kuwa sued sababu ya nyimbo ya happy ni za uongo, Marvin Gaye familly imekanusha..
 
Ha haaa haaa! You made my morning. Hivi! Kina masta jay, pii fanki na maporodusa wengine sio membaz humu?

hahaha wapo sana ila inahitaji knowladge ya kutosha kuelezea hii kitu so dizain wanaogopa
 
Wengi yamoto band kaka ila kweli first time when i heard that song nili realize kwamba i knew something was wrong kweli the idea ni ya Marvin gae

umeona eeeh...kuna mfanano flan hivi ila nashindwa kuuelezea kitaalamu
 
Hizo reports za Pharell kuwa sued sababu ya nyimbo ya happy ni za uongo, Marvin Gaye familly imekanusha..

Mweeh!!..nlikua cjapata hii ila blogs nying mbele ziliandika kwamba familia ipo mahakaman!
 
Back
Top Bottom