"Miss Jokate Kidoti" anafanya au anajaribu?

"Miss Jokate Kidoti" anafanya au anajaribu?

Black Book

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Posts
228
Reaction score
209
Last week end watsup nimepokea hii kitu #NewSong Jokate Ft Ice Prince "Leo Leo" nikaickiliza for sure cyo ngoma mbaya ila cyo typ ya mziki niupendao but the thing is huyu Jokate alikua Miss mara bongo movie mara akatoa nyimbo na Ay mara fashion designer mara presenter mara Mc Mara mlokole na sasa mziki huh!!...Is she a MultTalent or What???!!...Kwa kua ameona vanessa katoboa mziki na yeye kaja tena huku wacha kirehehere wew mtoto your so beautfull and famous pia chagua kitu kimoja iwe ni career yako uifanye the way it supposed to be u ve got a thousands fans ambao wakijua specifically unafanya nn they will support you kutangatanga unapoteza fan base yako iliyokusupport previously kua na washkaji clouds siyo sababu ya ww kufanya mziki au kama unafanya fanya maana umebakiza Ubunge tuu..Mwisho ukitaka kuolewa uni Pm i ve got Hasheem Body!!
 
Nyimbo yake nzuri na hasa alivyotambaa na beat Ice Prince..ile kama hatakiii ivii
 
Last week end watsup nimepokea hii kitu #NewSong Jokate Ft Ice Prince "Leo Leo" nikaickiliza for sure cyo ngoma mbaya ila cyo typ ya mziki niupendao but the thing is huyu Jokate alikua Miss mara bongo movie mara akatoa nyimbo na Ay mara fashion designer mara presenter mara Mc Mara Mkolole na sasa Mziki huh!!...Is she a MultTalent or What???!!...Kwa kua ameona vanessa katoboa mziki na yeye kaja tena huku wacha kirehehere wew mtoto your so beautfull and famous pia chagua kitu kimoja iwe ni career yako uifanye the way it supposed to be u ve got a thousands fans ambao wakijua specifically unafanya nn they will support you kutangatanga unapoteza fan base yako iliyokusupport previously kua na washkaji clouds siyo sababu ya ww kufanya mziki au kama unafanya fanya maana umebakiza Ubunge tuu..Mwisho Ukitaka kuoelewa uni Pm i ve got Hasheem Body!!

Anataka kutengeneza kolabo kama ile ya waganga wa kienyeji wanaotibu magonjwa mia kidogo
 
Nilisikia anatengeneza na Apps za Playstore doh
 
nimeipenda hii closing yako!, kumbe umemfuatilia hadi ukajua alipenda bodi?!.

Ila ni kweli she is multi talented except kwenye kuchagua watu wa kuwa nao!.

P.

hahaha so she failed to choose!!...Damn hasheem got money too
 
Anafuata mkumbo. Anataka ustaa na yeye jina lake lisiishie kwa wakubwa tuu. Hadi watoto wamjue
 
Back
Top Bottom