Wrestling is Fake, Ni maigizo

Wrestling is Fake, Ni maigizo

ARV

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
5,554
Reaction score
7,993
Nimebishana na jamaa yangu jana mpaka tukafikia kugombana anang'ang'ania huu mchezo ni wa kweli 100%, amenifanya usiku huu nikeshe nikifuatilia huu mchezo kwenye net na moja kati ya evidence nyingi nitakazompelekea leo ni hii nilioambatanisha hapa chini, na wewe unaamini hii kitu ni Real?

Note;WWE (World Wrestling ENTERTAINMENT)

Real or Fake?: The Truth About Professional Wrestling By Steve Mann on July 8, 2007

Many people feel wrestling is fake.

Is it?

Let me answer with a story.

When I was about 11 or 12, a family friend took me to my first wresting event at the Montreal Forum, where I saw a match with Maurice "Mad Dog" Vachon. I don't remember who he fought, but I do remember that Mad Dog was split open during the match...and that his blood was pink.

Of course, the blood was fake, because the match was choreographed.

My short answer to the question, then:

Is wrestling choreographed?

You bet.

Is it fake?

NO.

And you're probably wondering what the difference is.

When wrestlers enter the ring, they already know who's going to be the winner, and the whole match is choreographed to that end. Very much like a Broadway play.

The difference between a wrestling match and a Broadway play, though, is that stunts can go terribly wrong in wrestling. The most tragic example that comes to mind is that of Owen Hart, who died when his harness failed during a choreographed descent into the ring.

Try telling wrestlers like Mick Foley, who had his ear ripped off in the ring, or Scott Steiner, who was kicked in his throat during a match and required emergency surgery to repair his damaged trachea, that wrestling is "fake."

Wrestlers, at their best, are master illusionists: Fans want to see specific things happen in the ring, and wrestlers, as experts in their craft, make them see it.

You see what they want you to see, not what's truly happening!

Lets remember what WWE stands for, after all: World Wrestling Entertainment.
 
Jana nilikuwa naangalia channel ya SATANTA ACTION, jamaa wanapigana haijulikani ni ngumi au mieleka. Maana wanapigana ngumi huku wakichanganya na mateke, kwa ujumla ni tofauti na WWE.
 
Ni fake, upande wa damu uwa ni damu kweli ila uwa wanapanga nani awe bingwa na jinsi ya kupigana uwa wanaachiana yan kuna pigo mtu anapigwa kwa kujitegesha kwamfano stail ya Rew mysterio na nyingine nyingi unakuta mtu anauwezo wa kukwepa ila akwepi kwa kua wamepanga mtu apigwaje, pia ngumi zao na mateke ni fake
 
Ndio maana inaitwa entertainment...ni staged event...ni kama mazingaombwe...ila kuna baadhi ya mambo wanafanya kweli na ndio maana huwa wanajidunga dawa za kuongeza nguvu...

au unaona kabisa by the time mtu anajiunga na let say WWE alikuwa na mwili mdogo lakini after sometimes anaongezeka misuli baada ya mazoezi na steroids hadi anakuwa mkubwa, kwa evidence hiyo lazima utagundua kuna mambo yanawapasa kwli kutumia nguvu zao...
 
Na wale wa national geography wanaoingia kwenye mito original kama nile maji ya kifuani tena usiku kukamata mamba vipi? kwani na wao mara nyinig wanaonya ' dont try this... please stay safe'. na ile nayo ni fake au real
 
zile ni sanaa za maonyesho, ni maigizo sema wanafanya kuwe na uhalisia flani, lakn ni maigizo.
 
binafsi nimeshashudia kwa macho yangu huu mchezo.
Nalog off
 
Si mchezo? Kila mchezo una tricks zake ndio maana unaitwa mchezo. WW ulitka mtu achukue nyundo ampige mwezie ndio useme ni real? Sheria zake ndio tricks zenyewe , kwa hiyo hata footaball una tricks zake. Jiulize ni nani aliyeweka hizo sheria na je kabla ya sheria za football match zilikuwaje? REAL or FAKE?
 
hongera kwa kutambua hilo mkuu, hizo game ni pre planned, matukio yote, beefs baina ya wrestlers ni kama maigizo tu mkuu..
 
Hivi ushawai jiuliza kwenye movies watu wanapokua wanakiss a mouth kiss ni FAKE au REAL...??
Sa na wrestlering ni hivyo hivyo...generally unaweza sema huo mchezo ni Staged/fake lakini performance yake ni REAL kichapo ni kweli...na usiombe kikakukuta pale CM Punk anapompiga mtu go sleep au Randy anapompiga R.K.O au Undertaker anamaliza mtu na Tombstone ni REAL aissee na wahusika cha moto wanakiona.
Kwa wafuatiliaji wa WWE watakumbuka nini kilimkuta Batista baada ya kudakwa juu na kupigwa bonge na attitude adjustment na John Cina alivunjika shingo ki ukweli kweli au Edge amestaafu mchezo huu sababu kapata tatizo kwenye mfumo wake wa uti wa mgongo hii ni kutokana na kupiga sana style yake ya spear.
Kwa ufupi ni half fake coz ni entairnment sport na inakua ni maigizo kwa sehemu flani ila ni real kwa sehemu flani ndio maana wanaumia na kutoka damu wakati flani na inakua performed in live audince.
Ndoto yangu ya muda mrefu toka nikiwa na miaka 12 enzi za akina Macho man,NWO,Sting, Kelvin Nash, Giant (Big Show siku hizi) mpaka leo ni kufanikiwa kwenda US siku moja na kuona WWE live
 
Kwanza elewa wrestling hautambuliki kama sports ni entertainment.Ndo maana kwenye olympic haumo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Sasa mazoezi yote ya kubeba vyuma ya nn? Wakati ni fake.
 
Hivi ushawai jiuliza kwenye movies watu wanapokua wanakiss a mouth kiss ni FAKE au REAL...??
Sa na wrestlering ni hivyo hivyo...generally unaweza sema huo mchezo ni Staged/fake lakini performance yake ni REAL kichapo ni kweli...na usiombe kikakukuta pale CM Punk anapompiga mtu go sleep au Randy anapompiga R.K.O au Undertaker anamaliza mtu na Tombstone ni REAL aissee na wahusika cha moto wanakiona.
Kwa wafuatiliaji wa WWE watakumbuka nini kilimkuta Batista baada ya kudakwa juu na kupigwa bonge na attitude adjustment na John Cina alivunjika shingo ki ukweli kweli au Edge amestaafu mchezo huu sababu kapata tatizo kwenye mfumo wake wa uti wa mgongo hii ni kutokana na kupiga sana style yake ya spear.
Kwa ufupi ni half fake coz ni entairnment sport na inakua ni maigizo kwa sehemu flani ila ni real kwa sehemu flani ndio maana wanaumia na kutoka damu wakati flani na inakua performed in live audince.
Ndoto yangu ya muda mrefu toka nikiwa na miaka 12 enzi za akina Macho man,NWO,Sting, Kelvin Nash, Giant (Big Show siku hizi) mpaka leo ni kufanikiwa kwenda US siku moja na kuona WWE live
Aisee huko USA ni mbali mno,we omba wakienda RSA basi nawe uende ukajionee.Mwaka 2007 WWE Smack Down walikuja Afrika Kusini na wakacheza katika miji ya Cape Town na Jo'burg,sikukubali mpaka nikaenda kuwaona aisee wale jamaa wanachapana kiukwelikweli na mambo yalinoga zaidi maana walikutana wale wakali wawili John Cena na Randy Orton R K A,Mr.Kennedy na Carlito hawa jamaa walichapana si kitoto.

Wanaosema fake mmeshashuhudia live ama ni kwenye tv tu? Samtimz you need to see and witness utakua ktk nafasi nzuri ya kutetea hoja. Walikuja na huku Oz, sio fake am sure la sivyo mzungu asingetoa $ aingie
 
Back
Top Bottom