Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kwa wale mliofika bagamoyo mtakua mnaifahamu club matata inaitwa lusona ndani ya milenium hotel.ni club ambayo imekua maarufu sana ambapo kila mwisho wa wiki utawakuta watu maarufu kibao kama...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Wadau msaada nataka nitumie sm yangu ku download movies
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kuna baadhi ya nyimbo ni kali sana hlf zina bonge la meseji km hii click the link https://www.youtube.com/watch?v=5y_KJAg8bHI
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I've waited for this coming April....Lord knows how long man. 3 main reasons: I love them series man, from the 1st one. I would really love to see how James Wan did it. Binafsi simwamini...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Currently niko Bukoba, jana pasaka kulikuwa na mashindano ya kushake na kuimba maeneo ya beach, msanii Songa wa Tamaduni Music na M-Rap walikuwa na show kwenye Club moja maarufu huku, wakaja...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Naweza kusema haya ni mapinduzi ya kweli katika bongo fleva big up KIBA. kwa hili la kupi show pale DAR LIVE kwa LIVE BAND kweli umetisha kaka huu ni mfuniko kwa wasanii wote tunaowajua akiwemo...
4 Reactions
52 Replies
6K Views
Salamu wakubwa, nilikuwa nauliza kwa aneweza kunisaidia kuupata wimbo wa tanzania umeimbwa na wahindi ni wa kitambo kidogo, mbaya zaidi siujui hata jina lake, tbc taifa ndio wanaoupiga mara...
0 Reactions
13 Replies
11K Views
Jamani naombeni kujua wapi wanafundisha martial arts bongo
0 Reactions
1 Replies
956 Views
Beyoncé and Chris Brown on the same song? No, you're not dreaming. This actually happened. Queen Bey and CB appear together on the "Jealous (Remix)," where Brown adds his vocals to the track that...
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Naona sikuhizi umbea hasa unaohusu celebrities umehamia huko, Facebook na Twitter zimetelekezwa, show game zote ziko huko, mara sijui team wema,team kiba,team lemutuz(lol) etc zoote zipo huko, in...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Audio: Jinsi Chidi Benz na Cassim walivyowashiana Club Billicanas – Bongo5.com
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Huyu dada anaeitwa Wema Sepetu anaonekana akionyesha tabia na maisha yake ya kila siku kupitia kipindi hiki cha In My Shoes kinachoonyeshwa kupitia EATV. Hakuna cha maana zaidi ya kuonyesha jinsi...
5 Reactions
44 Replies
7K Views
The Success Of Fox's 'Empire' Reveals A Few Do's And Don'ts For TV i Taraji P. Henson, left, and Terrence Howard star as Cookie and Lucious Lyon in the Fox TV show Empire. The TV...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
wakuu kwa nini wasanii wanashindwa kukaa kwenye game kwa muda mrefu,kuna wanaodumu kwa .miezi.mwaka moja. than wanapotea . unadhani wanakosea wapi?
0 Reactions
0 Replies
596 Views
Wakuu naombeni link nitakayoweza kushusha series hii matata
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Kololo kolo mawena na tip Sheneida (verse1) Bana ndugu ebu leta tulivyo kabla mimi sijaondoka Wanatuhadithia tatizo wakati si tushamoka Weka bia tatu kwenye meza pale Hiyo bili atalipa babu tale...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu hivi kuna tofauti gani kati ya Bongo Movie na Nigerian Movie? Au unawashaurije wasanii wetu, wafanye kitu gani ili movie ziwe za kimataifa zaidi, yaani ziuzike huko ulaya, Amerika hata bara...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Meneja wa muda mrefu wa kundi la muziki wa kizazi kipya la Tiptop Connection,Abdul Taletale aka Abdul Bonge ameaga dunia. Abdul Taletale ambaye ni kaka wa Babu Tale atazikwa mkoani Morogoro...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Guyz ni nyimbo gani ikipigwa club ukiwa huko lazima usimame kucheza iwe ya kibongo bongo au ya mbele I mean ya kizungu lengo nataka kujua zile nyimbo ambazo zina pigwa sana club kwenye madisco...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…