lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Kila mtanzania mwenye mapenzi mema na muziki wetu.mpigie kura K 4 REAL katika category zote kwenye KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS. vote for K 4 REAL.
Hamna shaka
Vipi wewe Lukelo unapiga lakini?
ndio mkuu lazima nimpigie mfalme lazima nifah
Haya pamoja sana....
kura yako ni ya muhimu sana
Muulize matende
Hahaaaa matendo au mguu wa tembo.
Hivi namba ya diamond ni ngapi
Nataka kumpigia
Muulize matende
k 4 real ndo nani?kaimba nyimbo zipi?
Majibu haya hata Ally akiyasoma ataona aibu maana atajua tu kuwa team yake haielewi muzikiKING K 4 REAL ni mfalme wa bongo music ukitaka kumjua zaidi muulize KING OF R&B. R.KELLY anamjua vizuri
Majibu haya hata Ally akiyasoma ataona aibu maana atajua tu kuwa team yake haielewi muziki
Sio swala la nani ni King wa r&b ni hilo jibu lakusema kuwa anajulikana na fulani ndio sio jibu la ANAYEFAHAMU MUZIKI nilitegemea kusikia ana tuzo za nje kadhaa ...n.k.Hebu wewe tuambie king wa R&B ni nani?
Sio swala la nani ni King wa r&b ni hilo jibu lakusema kuwa anajulikana na fulani ndio sio jibu la ANAYEFAHAMU MUZIKI nilitegemea kusikia ana tuzo za nje kadhaa ...n.k.