Quality ya picha iko vizuri sana! lakini ...Script ya video mbovu haivutii kurudia mara mbili kuangalia hakuna hata sehemu moja inayovutia kuangalia mara mbili.... na wimbo mbaya pia!!... Hawa wasanii wetu sijui wana matatizo gani yaani makampuni kama haya alitakiwa arekodi nyimbo nzuri kama ile historia lkn aggh!..yaani bora hata ile aliyoimba na minnawe zaidi ya miaka 6 iliyopita!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.