Hii ni kwa wasanii wa ukweli wa hiphop nitakuwa natoa zawadi ya beats(mawe) hapa bure yeyote yuko huru kutumia bila woga.
Hakuna haja ya kupiga magoti studio upload vocal mimi namaliza kesi ya...
WanaJF,
Baada ya Lowassa kutoa kauli kuwa siku ya mei 23 atatangaza ya moyoni kuhusu nia yake kwenye safari ya matumaini, wasanii wa bongo fleva wakiongozwa na Shetta, kijana machachali katika...
Siku zote jambo la msingi ni kupiga hatua,kubuni vitu tofauti na jana,Safari hii kutokana na maboresho ya msingi na kuzingatia mahitaji ya watu wengi.....tumeamua kuhamishia lile tukio kubwa la...
Owen Wilson and Jackie Chan are all set to repeat their popular parts in the hotly anticipated third part of the Shanghai series, Shanghai Dawn. Here are the most recent subtle elements...
Wimbo huu nilipouangalia kwa mara ya kwanza niliupenda sana.Msanii anaitwa PLATE YA MAARIFA,kafanya kazi kubwa sana ktk swala zima la kueneza haki hii kwa wananchi.Hii Ibara ya 18 ni haki ya kila...
Licha ya kwamba kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake ila it is not a coincidence ma ex wote wa Mwanamuziki Diamond Platnumz wanafanya campaign za kushawishi watu wampigie kura ally kiba...si...
Nilikuwa namchukulia dogo poa ila kwa hii kitu ninamheshimu kweli. Sijua KTMA kama yuko kwenye kategori ya utunzi bora ila kama yupo basi anabeba tuzo. Huu wimbo wa Ruby ninausikiliza kila baada...
Toka siku ya kwanza nausikia wimbo wako wa Crazy,nilijua ipo siku wapenda burudani watakuelewa,hiyo ilikuwa 2012 nikiwa moshi na ulifanya wimbo huu na noda,then later on u featured Mwana Fa on the...
wapendwa wakubwa habari za majukumu.
Mimi binafsi ni mpenzi sana wa miziki ya legge, hasa hasa lucky dube ila sijajua tokea kufariki kwake kama ile bendi inaendelea kutoa burudani au la na kama...
Billboard Music Awards mwaka 2015-haiko mbali sana.
Muda umefika..-kwenye headlines kubwa za weekend hii ni hizi tuzo za-hizo,-shughuli yote itakuwa pale-Grand Garden Arena, Marekani.
Walioongoza...
hellow!!
ombi ombi yule anaeweza kuandika script kwa kiwango cha kimataifa au cha ubora unaohitajika naomba aungane namimi katika uandikaji wa script za filam nne (kali) sina pesa ya kumlipa but...
Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) kwa kushirikiana na Kilimanajaro Premium Lager leo wametangaza rasmi wateule (Nominees) wa vipengele 32 vya tuzo za Muziki Tanzania (Kilimanjaro Tanzania Music...
Wasalaam wanajamvi,
Ni ukweli ulio wazi kabisa Alikiba ni mmoja wa waimbaji/wanamuziki bora kabisa na mwenye kipaji cha aina yake hasa kuimba ni wazi soko la muziki limebadilika sana na limekuwa...
Mastaa hawa wakike wakiafrica wameungana na kutoa video ya pamoja kuhamasisha nguvu ya wakina mama kupambana na umasikini. Nyimbo inaitwa "strong girl" itizame hapo chini tuchangie maoni...
B.B. King - ambaye anatambuliwa kuwa bingwa wa muziki aina ya Blues ulimwenguni amefariki akiwa na miaka 89.
Jinsi anavyocheza gita lake kuliathiri pakubwa kizazi cha wacheza gitaa.
Alizaliwa...
Mimi huwa najiuliza wabongo huwa tunataka wasanii wetu waimbe muziki wa aina gani hasa.
Najiuliza kwa sababu msanii akiimba style za kinaigeria watamsema sana kwamba kwa nini aimbe style za west...
Wakuu nautafuta sana wimbo mmoja wa zilipendwa ila sikumbuki jina lake nakumbuka tu ubeti mmoja unasema hivi : Wewe anza mimi namaliza bora tusielewane vibaya. Je kuna anayekumbuka unaitwaje na...