BB King afariki

BB King afariki

eyetyna

Senior Member
Joined
Jun 24, 2011
Posts
148
Reaction score
17
150504155916_sp_bbking_glastonbury_festival_2011__624x351_getty.jpg

B.B. King - ambaye anatambuliwa kuwa bingwa wa muziki aina ya Blues ulimwenguni amefariki akiwa na miaka 89.


Jinsi anavyocheza gita lake kuliathiri pakubwa kizazi cha wacheza gitaa.


Alizaliwa Mississippi huko Marekani kulikokuwa na pamba na akafanya kazi katika mashamba akiwa bado mdogo.
150504155026_sp_bbking_tony_bennett_grammy_2000_624x351_afp.jpg
BB kingKisha aliajiriwa kama mwimbaji katika miaka ya arobaini kabla ya kuwa 'deejay' kabla ya kuanza muziki wake mwenyewe.


Alicheza katika hafla zilizovutia watu wengi akitumbuiza watu vizuri licha ya kuwa na umri wa miaka 80
Alisitisha ziara yake ya Marekani na Ulaya ili kuwatembelea wanawe 15
 
napakua discography yake hapa, nimevutiwa na uimbaji wake! jamaa ni noma.
 
Back
Top Bottom