jina:Blandina Bendi: jamhuri Jazz, Mwaka: 1971 -71Wakuu nautafuta sana wimbo mmoja wa zilipendwa ila sikumbuki jina lake nakumbuka tu ubeti mmoja unasema hivi : Wewe anza mimi namaliza bora tusielewane vibaya. Je kuna anayekumbuka unaitwaje na aliyeimba nani? Nitashukuru sana