Tuzo za KORA-All Africa Music Awards 2015 zimerejea kwa kishindo, ambapo zawadi kubwa kwa mwaka huu itakuwa USD 1 Million (sawa na zaidi ya shilingi bilioni 2).
Wasanii wa Afrika na diaspora...
Wimbo mpya alioufanya davido akishirikiana na Rapper anaejulikana ulimwenguni kote, Meek Mill aliyechini ya label ya Maybach music ambaye ni mpenziwe mwanadada Nick Minaj unaonesha jinsi gani...
Kwanza kabisa naomba nijihami,sina lengo la kisiasa hata kidogo kwa kitu ntakachokiandika hapa,ni hobby tu nothin more.
Siku January Makamba anatangaza nia,kuna kawimbo fulani hvi walikuwa...
521
Kipindi inatoka chekecha chekechua ya alikiba team domo waliongea sana kuwa beat imechakachuliwa toka kwa wimbo wa matonya -unanimaliza....haya sasa NAKUKUMBUKA ya diamond ni copy na paste ya...
Zimebaki siku mbili tu ili tuweze kushuhudia mpambano wa Tuzo za Muziki za kili
Mpambano mkali unatarajiwa kati ya Kiba na Dimond
Tukae mkao wa kula.........
Hitmakers hawa wako kwenye upinzani...
Kuna jambo linanitatiza sana kwa nini wasanii kama kina NEY WA MITEGO, DUDU BAYA, TEMBA, DIAMOND wanapokua jukwaani wanaimba mkono moja kashika mic lazima mwingine atashika katikati ya suruali kwa...
Naomba kuwasiliana na Diamond katika masuala ya professional .Nahitaji nipate contact za uhakika za watu muhimu wanao simamia kazi zake hapa Tanzania kama (manager ,Press&Publicity officer, and...
Habari zenu wadau,
Ninapenda sana kujifunza mambo yanayohusu mziki, hii ni pamoja na kujifunza kupiga vyombo kama piano, drum na guitar
Lakini sifahamu ni maeneo gani naweza pata mafunzo kwa...
Mfano hawa kina Mark Zuckerburg (mmiliki wa FB whatsup, na Instagram) na wengine wanaingizaje kipato kwa kupitia hii mitandao wanayomiliki?
Maana hawa watu wamepata utajiri mkubwa kwa kupitia hii...
inaitwa cast away. imetoka 2000. mastaa ni Tom Hanks na Helen Hunt. Hank alikuwa anafanya kazi Fedex. katika safari zake ndege yao ilianguka bahari ya pacific. Hanks peke yake alipona na mawimbi...
​
For over twenty years, video director Hype Williams has been turning out four-minute fantasias for the biggest names in rap and R&B. With a fish-eye lens in one hand and a briefcase of...
Wadau sijaweka hii post kwa ubaya hapana, ila ni kuwakumbusha tu management ya Alikiba na mashabiki wake kwamba wanapaswa kufanya kazi ya ziada kumuuza kijana wao ili aweze kufanikiwa level za...
Habarini wandugu,
Hivi karibuni familia yangu imepata zawadi ya Keyboard kutoka rafiki yetu anayeishi nje, hivyo ningependa kufahamu kama kuna kituo cha kujifunza niweze kutumia muda wangu wa...
Habari wana ukumbi; kuna filamu iliyochezwa wahusika walikuwa 2 white men and black man (kibonge)ambopo Huyu black wakati wa mchezo alikatiza kwenye mto na mamba walimuuma mguu na akashindwa...
Well Nimekuwa nikipokea maswali na Comment nyingi eti kwanini sitangazi vipengele vyangu vya Tunzo watu wanipigie kura...tafadhali naomba mniskilize kwa umakini:
Ikiwa MOE MUSIC hakuonekana ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.