Nani ana fans wengi humu?

theoka

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
374
100
The King Ally Kiba fans' special thread,
Tujumuike hapa (11,191) »( ... Last Page)Diamond Platinumz fans' special thread: Njooni
tukutane hapa (4,735) »( ... Last Page)

hata kwa hili inadhibitisha kuwa watu uwa wanamchoka mtu na kumshabikia mwingine na unavyo ona followers weng ndo ivoivo na kura sasa weng wanlalamika uku na awakumuunga mkono mwenzao
 
Liko wazi, hakuna haja ya kujiuliza tena.
 
hizo ni posts tu ambazo wachangiaji walewale na wengine wanatoa hela watu wachangie. hujiulizi kwanini thread ya diamond ina viewers wengi zaidi?
 
Hivi kweli viewers ni wa kujivunia? Mtu mmoja anaweza kuutembelea huo uzi hata mara 50 kwa siku, huku upande mwingine unaweza kupata comments nyingi kutoka kwa watu wengi.
Kikubwa hapa ni kupima uzi una uhai gani? Majibu yako wazi.
 
viewers wengi inaonyesha watu wako interested na huyo msanii. katika posts 11,000 za kiba nusu ni zako Matola na atoto. na hata viewers nusu ni nyie watatu.
 
Last edited by a moderator:

Teh teh teh teh, imebidi nicheke tuuuuu, nisamehe tu leo ni siku yangu ya kufurahi tuuuuuuuu hayo mengine nawaachia, muugue pole
 
Last edited by a moderator:
Wameshinda kura nyingi ila bado wana wivu na Diamond sasa inajulikana kuwa bado tatizo nyotaaaaaaaaaa kumekucha

Haya twendeni kimataifa

********

Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE

ilj ngia kwa link hii chini

http://mama.mtv.com/voting/

Bonyeza bonyeza VOTE usichoke

******************

Nyie mbona za local zinawaumiza vichwa hamlaliiii!! Mmekesha mnafungua nyuzi tuuuuu hiyo inaonyesha nini?? Kiruuuuuuuuuu
 
Wote tuseme Kiba x 5 ( kwa team Mond mnaweza sema hata kimoyo moyo)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom