Diamond Platnumz afunguka kuhusu tuzo za Killi Music Awards

Diamond Platnumz afunguka kuhusu tuzo za Killi Music Awards

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,685
#Repost
11242029_944545392265063_1666139413_n.jpg

​

Well Nimekuwa nikipokea maswali na Comment nyingi eti kwanini sitangazi vipengele vyangu vya Tunzo watu wanipigie kura...tafadhali naomba mniskilize kwa umakini:

"Ikiwa MOE MUSIC hakuonekana ni Mmoja ya Mwanamuziki bora Chipukizi.. NDAGUSHIMA ya Ommy Dimpoz haikuonekana inafaa kugombea kama Moja ya Video bora..Video ya Rich Mavocal - PACHA WANGU haikuonekana inafaa kugombea kama moja ya video bora.... YAMOTO BAND licha ya kuvuma na kujaza kila show ya kila pembe ya Tanzania ila Mwisho wa Siku wameambulia Category Mbili tu Unafkiri mimi nina haja gani ya Kuomba kura????

Hivi kuna Nyimbo zimependwa na kuvuma kama NITAJUTA ama NISEME ya YAMOTO BAND Tanzania?? Eti mwisho wa siku, watoto wa watu licha ya Juhudi zote eti hazikustahili wameambulia Category Mbili tu... Hivi kweli Tunakuza Muziki wetu au Tunaua??? Mimi Kuwa na Categories 10 na Kuongoza kuwa na Vipengele vingi kuliko Masanii yoyote hakunifanyi eti nifurahie Wengine wanapoumizwa kwasababu kama leo wameumizwa wao basi kesho pia nami ntaumizwa ...

Pia Kwangu mimi sifanyi mziki ili Nifaidike bali nafanya ili wasanii na Taifa langu pamoja na Tasnia yangu izidi kufika mbali na tuheshimike... I have been to this Industry zaidi ya Miaka Mitano (5 ) so panapo NAMNA Napajuaga mapema na Ndiomaana sitaki kuwapotezesha watu pesa zao wanipigie kura halaf ziende na maji... Wakiona kuna mahala nilistahili watatoa wakiona sijastahili ni haki yangu kutopewa...Nilishawai hata kutopewa tunzo kabisa ila Mpaka leo sijawai shuka na Sitokaa Nishuke labda Waniue!"....

Napost PART 2


 
11242029_944545392265063_1666139413_n.jpg

​

Well Nimekuwa nikipokea maswali na Comment nyingi eti kwanini sitangazi vipengele vyangu vya Tunzo watu wanipigie kura...tafadhali naomba mniskilize kwa umakini:

"Ikiwa MOE MUSIC hakuonekana ni Mmoja ya Mwanamuziki bora Chipukizi.. NDAGUSHIMA ya Ommy Dimpoz haikuonekana inafaa kugombea kama Moja ya Video bora..Video ya Rich Mavocal - PACHA WANGU haikuonekana inafaa kugombea kama moja ya video bora.... YAMOTO BAND licha ya kuvuma na kujaza kila show ya kila pembe ya Tanzania ila Mwisho wa Siku wameambulia Category Mbili tu Unafkiri mimi nina haja gani ya Kuomba kura???? Hivi kuna Nyimbo zimependwa na kuvuma kama NITAJUTA ama NISEME ya YAMOTO BAND Tanzania?? Eti mwisho wa siku, watoto wa watu licha ya Juhudi zote eti hazikustahili wameambulia Category Mbili tu... Hivi kweli Tunakuza Muziki wetu au Tunaua??? Mimi Kuwa na Categories 10 na Kuongoza kuwa na Vipengele vingi kuliko Masanii yoyote hakunifanyi eti nifurahie Wengine wanapoumizwa kwasababu kama leo wameumizwa wao basi kesho pia nami ntaumizwa ...Pia Kwangu mimi sifanyi mziki ili Nifaidike bali nafanya ili wasanii na Taifa langu pamoja na Tasnia yangu izidi kufika mbali na tuheshimike... I have been to this Industry zaidi ya Miaka Mitano (5 ) so panapo NAMNA Napajuaga mapema na Ndiomaana sitaki kuwapotezesha watu pesa zao wanipigie kura halaf ziende na maji... Wakiona kuna mahala nilistahili watatoa wakiona sijastahili ni haki yangu kutopewa...Nilishawai hata kutopewa tunzo kabisa ila Mpaka leo sijawai shuka na Sitokaa Nishuke labda Waniue!"....Napost PART 2


MY TAKE: Pamoja na kwamba kuna watu wanaleta ushindani wa kijinga kwenye mambo ya msingi, naamini wahusika wa KTMA watajifunza kwa sababu Diamond si msanii wa kwanza kuziponda hizi tunzo. Hawa jamaa wanaua mziki kwa kuendekeza ushindani wa kipuuzi kabisa. Pengine ndio maana baraza la sanaa wamekaririwa kwamba wametoa tishio kwa msanii atakayejitoa katika hizi tuzo, yawezekana walijua wazi uozo uliofanyika.
 
Mavoco kakosaje kosaje kwenye awards?

Nishampigia Binamu yangu,Ben Paulo , Ally Kiba ,Grace matata,Fid Q
 
Aache visingizio na yeye kwani amejuaje kuwa watu wanampigia kwani yeye ni nani kuwapangia kuchagua hizo category za tuzo.Mfamaji huyu siku zote alikua haoni ila mwaka uu ndo kaona
 
Hahahaaa mpambano unamnyima usingizi mwenzio wewe unafurahia?

Hahaaaaa loh kanishangaza sana na hii kauli yake aisee eti uonevu kuna watu wazuri arudishe na zote alizowahi kuchukua basi tumuone. Kweli itakua hapati usingizi kabisa kaona akazie kwa mavoko na Yamoto band nyimbo zao wenyewe zina baadhi ya maneno ya ajabu.
 
Back
Top Bottom