Nini chimbuko la team Kiba na team Diamond?

Trayvess Daniel

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
534
1,013
Habari wanajamvi,

Nimeguswa mno na hii hali ya utimu inayoendelea.

Nini chimbuko la hizi teams?

Nani ni mchochezi kati ya wahusika na mashabiki?

Wahusika wamewahi toa tamko lolote kuhusu hali inayoendelea? tamko lipi?

Sisi wadau tunataka hatma ya hizi teams iwe nini?

MTAZAMO WANGU
Hizi timu zinakoelekea zinajenga chuki na mipasuko baina ya wasanii husika na wapambe, jambo ambalo ni adui wa kukua kwa muziki wetu. Kiba akipanda kwa juhudi zake binafsi na support ya mashabiki wake nini kitapungua? Sio lazima mtu mwingine ashushwe. Diamond akishuka kimuziki nini faida haswa? Ni lazima kulinganisha Uwezo wa hawa wawili tena pasipo na tija?

MAONI
Mashabiki tuna uwezo wa kuua au kukuza muziki wetu, ifike hatua tuache ushabiki na tutatue tatizo lilipo baina ya hawa wawili kwani kila mmoja ana umuhimu wake.
kukomoa sio njia ya kusolve tatizo especially kwa watu wenye busara na malengo.

Tofauti za kimitazamo, malengo, utumiaji fursa, ubunifu.Ni kitu kikubwa kinachoweza kutofautisha watu wawili wanaofanya kitu cha aina moja. alikiba ni muimbaji mzuri na diamond ni daraja zuri kwa Muziki wetu kutambulika kimataifa na hata wasanii wengine kupenya tuongeze idadi kama wanigeria.

wachangiaji tutoe michango ya kujenga, hapa tunasolve tatizo na sio kulaumu au ushabiki. Na ukileta lawama ni vema ukaweka ushahidi na chanzo husika.

NAWASILISHA.
 
mbongopopo

JF-Expert Member
Jan 24, 2008
1,612
756
Yaani natumaini umeona jinsi wa Tanzania wanavyotia aibu kwa chuki na kuamua kupigia kura wasanii wa nchi zingine.

Tabu ilianza Kiba aliporudi alitumia maneno ya kuwa yee ni kingi na anataka kiti chake yaani kwa kuwa Diamond yupo juu yeye anataka kumpita.

Diamond hajawahi sikika akiongea mabaya au kutamka mabaya juu ya kiba au kitu chochote zaidi ya kusema kama watu wanataka kushindana nae yeye pia anapata kiki ya kufanya bidii zaidi na kutojisahau. Nadhani hii kitu hata yeye atakuwa anashangaa bidii ya alipofika inatakwa ishushwe na wananchi sababu amepata maendeleo mazuri kwa kujituma kufanya vizuri.

Kiba ibabidi abadilike, maana hata jana alikuwa mjini nilipo na mbwembwe sema wengi tulikuwa na harusi bomba hatukwenda bali walioenda walisema sio inavyokuwaga wa Tanzania wakianua kuhudhuria shughuli.

Inabidi aache kuchochea wananchi kutaka kushindana na Diamond sababu hana cha kuonyesha tangu ametudi.

Tuzo sawa ila akumbuke tuzo hazitoi pesa ya kuishi.

Inasikitisha sana tabia ya wanaoonea wivu Diamond kwa mafanikio hawataki afanikiwe zaidi.

Kiba una uwanja na hata siku moja hakuna msanii nwingine amekuingilia ila uwanjani ulipo wewe ni wewe na sio kwamba wengine ndio watakusaidia sema wakishuka hautapanda, Diamond yuko juu kubali shindana nar tuone mambo kuwa na wewe unataka kupaaa.
 
Nifah

JF-Expert Member
Feb 12, 2014
26,573
40,397

Naomba utoe ufafanuzi wa kutosha kuhusu hapo kwenye red.
Ni lini Kiba kachochea wananchi? Na kawachochea kivipi?
Unaposema hana cha kuonesha pia unamaana gani? Diamond ana wimbo gani wa maana wa kushindana na Mwana?

Binafsi nampenda Kiba tokea zamani sana, sikuwa hata na idea ya mitandao ya kijamii kama huu ambao naweza kutoa maoni/kuonesha mapenzi yangu kwake.
Sasa unaposema anachochea wananchi nimekushangaa sana.

Mleta maada nakubaliana nae kwa kiasi fulani maana ametumia busara katika kuwasilisha maoni yake, ila wewe hazihitajiki hata dakika 5 kujua wewe ni mtu wa mrengo gani.
 
Dejane

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
43,252
48,068
Wanamchukia Daimond humu Kuna makombo ya Daimond ndio maana wanachukia haswaaaa,humu Kuna wema ,penny,jokate makombo
 
samsun

JF-Expert Member
Feb 9, 2014
7,386
5,950
We nawe unatuharibia sherehe team kiba hebu kujeni pande hizi woyoooooooooooooooooooooooooooooo, baada ya kuvunja rekodi ya DIAMOND ya 7 KIBA KACHUKUA 8 (NANE) WOYOOOOOOOOOOOOOOOOO na sasa ni mwendo wa kumpigia KURA KIBA KTK MTV AFRICA MUSIC AWARD wera weraaaaaaaaaaaaaaa.
 
hhhhhhhaaaaaaaaaaa
 
chukuachako

JF-Expert Member
Nov 13, 2014
1,179
784
We nawe unatuharibia sherehe team kiba hebu kujeni pande hizi woyoooooooooooooooooooooooooooooo, baada ya kuvunja rekodi ya DIAMOND ya 7 KIBA KACHUKUA 8 (NANE) WOYOOOOOOOOOOOOOOOOO na sasa ni mwendo wa kumpigia KURA KIBA KTK MTV AFRICA MUSIC AWARD wera weraaaaaaaaaaaaaaa.

oyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo wera wera
 
mxsdk

JF-Expert Member
Aug 11, 2014
3,587
2,040
Mambo ya team,ni mifano mbovu na kidhaifa ya kuigwa na baadhi ya watu wajinga na wasio wazalendo.wenye roho ya kwanin!
 
christmas

JF-Expert Member
Jul 21, 2011
2,686
1,229
We nawe unatuharibia sherehe team kiba hebu kujeni pande hizi woyoooooooooooooooooooooooooooooo, baada ya kuvunja rekodi ya DIAMOND ya 7 KIBA KACHUKUA 8 (NANE) WOYOOOOOOOOOOOOOOOOO na sasa ni mwendo wa kumpigia KURA KIBA KTK MTV AFRICA MUSIC AWARD wera weraaaaaaaaaaaaaaa.

teh teh teh kwahiyo mkuu kumbe ni 8 tu miaka yote hiyo du basi platnumz ashukuriwe sana kwasababu bila yeye sidhan kama hizo za jana zingepatikana
 
mzurimie

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
6,143
3,617
*****************

Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE

ingia kwa link hii chini

http://mama.mtv.com/voting/

Bonyeza bonyeza VOTE usichoke

******************
 
Trayvess Daniel

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
534
1,013
anhaaa na wachangiaji tuendelee huku tukikusanya maoni
mdau hapo kawasiliaha chanzo ni kauli ya kiba alivyorudi kwenye game.... mwenye kuunga mkono hoja aje na mwenye kupinga pia aje bila kusahau mwenye maoni tofauti
lakini sasa huo ujio wa kiba ulipokewaje na mashabiki na diamond mwenyewe?
 
Trayvess Daniel

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
534
1,013
Wanamchukia Daimond humu Kuna makombo ya Daimond ndio maana wanachukia haswaaaa,humu Kuna wema ,penny,jokate makombo

naomba tutoe comment za kujenga.... Hii thread mwisho wa siku tupate kitu na tufanye ushabiki wenye tija na sio kuua na kujenga uadui.... mwisho wa siku nchi ndo inaonekana ina wananchi wasiojitambua kutwa kutukana mitandaoni na kuvamia page za watu.
 
Trayvess Daniel

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
534
1,013
Mambo ya team,ni mifano mbovu na kidhaifa ya kuigwa na baadhi ya watu wajinga na wasio wazalendo.wenye roho ya kwanin!

mkuu team sio kitu kibaya pale kinapotumika kama changamoto ya kuleta wivu wa maendeleo.... Mambo ya kutaka kukomoana kutukanana na yanayoendana na hayo ni kigezo kikubwa cha wivu wa kijinga, upeo mdogo na roho ya kwanini. Mungu atupe watanzania roho kutogubikwa na ushabiki..... Hii inakomaa hata katika mambo ya kila siku sio muziki tu imegeuka tabia
 
Trayvess Daniel

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
534
1,013
Hapo kwenye uchochezi...... uthibitisho tafadhali namna gani anachochea hiyo chuki... twende sawa
 
chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
8,779
12,045
naomba tutoe comment za kujenga.... Hii thread mwisho wa siku tupate kitu na tufanye ushabiki wenye tija na sio kuua na kujenga uadui.... mwisho wa siku nchi ndo inaonekana ina wananchi wasiojitambua kutwa kutukana mitandaoni na kuvamia page za watu.
kweli kabisa...huyu Dinazarde sijui kala maharage ya wapi
 
Last edited by a moderator:

Trayvess Daniel

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
534
1,013
Naomba utoe ufafanuzi wa kutosha kuhusu hapo kwenye red.
Ni lini Kiba kachochea wananchi? Na kawachochea kivipi?
Unaposema hana cha kuonesha pia unamaana gani? Diamond ana wimbo gani wa maana wa kushindana na Mwana?

Binafsi nampenda Kiba tokea zamani sana, sikuwa hata na idea ya mitandao ya kijamii kama huu ambao naweza kutoa maoni/kuonesha mapenzi yangu kwake.
Sasa unaposema anachochea wananchi nimekushangaa sana.

Mleta maada nakubaliana nae kwa kiasi fulani maana ametumia busara katika kuwasilisha maoni yake, ila wewe hazihitajiki hata dakika 5 kujua wewe ni mtu wa mrengo gani.

ni vema umeweka wazi kwamba haya mambo ya teams hayajakuinfluence kumpenda kiba.... you are his all time fun.... Sasa angalau una hints kidogo huu ushabiki unaolekea kusikotakiwa chimbuko ni nini? cha msingi ni kubalance tushabikie bila kumkandamiza mwingine sababu inawezekana kunywa cereals bila kuponda azam juices
 
binti kiziwi

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
5,785
12,313
We nawe unatuharibia sherehe team kiba hebu kujeni pande hizi woyoooooooooooooooooooooooooooooo, baada ya kuvunja rekodi ya DIAMOND ya 7 KIBA KACHUKUA 8 (NANE) WOYOOOOOOOOOOOOOOOOO na sasa ni mwendo wa kumpigia KURA KIBA KTK MTV AFRICA MUSIC AWARD wera weraaaaaaaaaaaaaaa.

Hahahaaa sijui nia yako ninini katika hili! Let me stay away.
 
5 Reactions
Reply
Top Bottom