Daah! Pamoja na Mzee Majuto kutumia muda wake kuipamba Instagram Party, kumbe mzee wa watu mwisho wa siku katoswa hajapewa hata mia, kuanzia hotel, chakula mpaka usafiri katumia hela yake...
Mimi sijaelewa hizi nafasi hua zinapatikanaje! Ili mtu aqualify kua jaji TMT anatakiwa kuwa na vigezo gani? Au tu kwa sababu mtu ni migizaji ndiyo kigezo? Hapa ndo mtu unajua kua ni kupeana tu...
My take: Hivi ni vigezo gani huwa vinatumika mpaka msanii anakuwa nominated, maana sijaona kabisa kijana wetu Diamond akiwa nominated mwaka huu japokuwa bado anaendelea kufanya vizuri.
Mimi kusema kweli siko timu Kiba wala timu Dimond. Mi nawapenda wote, na wote nafurahia kazi zao kwa kweli. Tena nawapongeza sana kwa huu ushindani wao wa kimuziki. Kiukweli unawafanya wote...
Wakuu kwakwel mpaka sasa sielewi nini kimetokea kwa hiz siku 3 tu, Jirani yetu katoa Video 2 mfululizo kwa mbwembwe nyingi ikiwemo ile ya "Nana" alofanya na Mr.Flavour, pia na ile aliyofanya na...
TOP ARTIST
Ariana Grande
One Direction
Katy Perry
Sam Smith
Taylor Swift -- WINNER
TOP COUNTRY ARTIST
Jason Aldean
Luke Bryan
Florida Georgia Line -- WINNER
Brantley Gilbert
Blake Shelton...
Sijui ni lini watu wa Industry ya Bongo movies waliingia mkataba/ ubia na mabasi ya abiria nchi nzima kutulazimisha Watanzania kuangalia movie hizi za still picture na mnato zikisindikizwa na...
Wimbo bora wa mwaka: Je, kuna wimbo bora zaidi ya Mwana?
Wimbo bora wa Afro pop: Je, upi zaidi ya mwana? Au unataka uniambie ule mchiriku wa mdogomdogo kutoka kwa jirani yetu? Hahahaha..
Mtunzi...
Below is a list of the 10 most viewed music videos by Bongo Flava artists
1. Number one(remix)- Diamond ~ 8,776,520
2. Number one- Diamond ~ 4,384,532
3. Ntampata wapi- Diamond ~ 4,072,701
4...
Wana Jf
Sasa hivi nina kama miaka 5 nacheza online betting(ladbrokes.com), napendelea sana soccer, sometime ice hockey,
tennis, baseball na basketball. Kuna wana Jf humu jamvini wanatumia hii...
"Again n again" - Ni mtazamo tu!
Laiti kama ningelikuwa FID Q Mwana Hiphop mkali Bongo;
- Ningepiga collabo na Fat Joe faster pale tu nilipokutana nae na kuonesha kukikubali kipaji changu.
-...
Kwa wale wapenzi wa mieleka kama WWC, WWA. Ambapo kuna wapiganaji kama John Seaner, Hulk Hogan, TRIPLE H. na wengineo.
Swali; Hivi kwanini hawa jamaa licha ya kupeana vipigo vya mbwa mwizi...
Ilitangazwa kuwa wata wakilisha Tanganyika kwenye hiyo project.
Lakini namuona Fid q na narleal tu wakiwa huko Nairobi.
Vipi hao wengine au ndo zilikua story za vijiweni tu?
Yaaap! samahani lakini! Bila shaka tunaenda sawa. Laiti kama ningelikuwa Ally Kiba, ningefanya yafuatayo;
- Ningeua nyani huku namuangalia usoni. Yaani ningevunja vunja uongozi wangu wote na...
Jamani jana si ndo zanzibar wanjera
Concert ..cha kushangaza hakuna anayetoa yaliojiri vipi ilikuwaje na mashauzi ya Mr vishimo mpaka sasa hivi IG kimya naye mama Wanjera kimya wars going on
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.