Binafsi huwa napata tabu sana kumuelewa mtu (tena anaeishi 'Africa') ambae anaubeza utamaduni wa hi-hop, in particular muziki wa hip-hop, achilia mbali graffitis ambazo ni meaningful mode to...
This means that Toddler Takeover gives you the opportunity to GET INVOLVED and have fun with your little one instead of just watching from the sidelines, however if you do just want to relax and...
Kwa bei rahisi kabisa unajipatia Tv series zilizotajwa hapo juu. kwa tsh 3000 unapata season 1 na pia kama utakuwa na nyingne ambayo utaichagua wewe unaweza kuopata kwa tsh 5000 kama haipo kwenye...
Wadau pamoja na mizengwe yote inayofanywa.
Mimi natabiri Diamond kuchukua tuzo kumi mwaka huu sababu kajitokeza kwenye vipengele 10 huku anayemfatia kwa nominations ana category 5...
Jamani naomba munisaidie natafuta huu wimbo niliuona mara1 ulipigwa kwenye channel flani tena nilikuta mwishoni kabsa,
Kaimba mdada kama ckosei then humo ndani kama anahang around kwa town hivi...
Kama upo katika muziki na unataka kuendelea usikose kusoma USHAURI HUU (chini). tulia soma
by Godwin Tom
Hi Guys… It's been a while… Way over a year! Missed me?
Brief...
Licha ya kuwa ni wimbo mzuri wenye mpangilio wasauti na waimbaji,pia una ujumbe muhimu sana kwenye jamii yetu,
Hivi tumekwisha kaa tukawaza kuwa kutoa mimba pia ni kosa na ni dhambi kubwa sana...
Kubali ukatae lakini huo ndo ukweli watoto wa oysterbay, masaki na mitaa ya kizungu mikoa mbalimbali wanaofuatilia hii aina ya mziki wachache sana.
Hiphop ina mashabiki wengi sana usipinge...
Wadau wa mziki wa Injili nadhani mmeshawai kuusikia Wimbo wa kijana na Mtumishi wa Mungu Ambwene Mwasongwe ujulikanayo kama "Upendo".
Ama hakika ni wimbo mtamu sana kuusikiliza,Ambwene...
Hi wanajamii,
natafuta mwanamziki anaeimba peke yake let say na kinanda.mic peke yake aje kutumbuiza kwenye small birthday party, ajue kuimba nyimbo mbali mbali nk, mfano hawa ambao huwa wanaoimba...
Leo ndio kumekucha tuzo za watu zinaendelea usiku huu
Haya mwagikeni nani na nani wamechukua tuzo
Sio mbaya kusifia vile vilivyowapa tuzo hizo pia, ili watu tusiojua tuzijue kama ni movie taja...
This is purely feminine and has never felt fresher. Go floral this summer with abstract, minute beautiful prints.....
For more: Your look for summer 2015
Habari zenu wakuu...
naomba kusaidiwa Link ambayo nitaweza kupata English Subtitles za Series inayoitwa ARROWS ON THE BOWSTRING-season 1..ni ya muda kidogo kwa anayeweza kunisaidia tafadhali.
JE, NI KWELI BONGO MOVIE INAKUA?
Nianze kwa kusema nimekuwa mdau wa bongo movie kwa mda mrefu sasa, tangu enzi za shamba kubwa, nsyuka nk. Hivyo nimeona ni vyema na mimi leo nikatoa yangu ya...
Je? ni movie gani ambayo ushawai kuangalia na ilikusabisha ukalia kwa kutoa machozi kabisa,
for me, THE FOULT IN OUR STARS which been directed by josh boone,
the foult in our stars, that...
Indoor activities that will keep toddler and you happy and active.Indoor activities for kids are a fun way to spend a rainy. Thease games build your toddler creative and smarter. Gravity Force is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.