Ndorobo wewe hiyo buku kanunue gazeti ujipepee

Ndorobo wewe hiyo buku kanunue gazeti ujipepee

Tangopori hata wewe utakuwa mangi eeh! Tena wa sehemu za miwa miwa Hahahah
 
Last edited by a moderator:
Hili tangazo nalipenda sana sana....Mangi kamshinda mhaya kwa dharau. Eti kanunue gazeti ujipepee
 
Asubuhi nilicheka sana kwa daladala hapo jamaa anavyosema Nndorobooo wewe..dah
 
Ndorobo wewe, nilivyolisikia kwa mara ya kwanza ilibidi nicheke tu, neno ndorobo sijalisikia wala kulitamka kitambo sana......very interesting
 
Nilipolisikia nilicheka sana!kwakweli aliyelitengeneza apewe sifa zake!
 
mbavu zinauma sana kwa kucheka heehaa haah ha heh he he heeeeee!
 
Nilipolisikia nilicheka sana!kwakweli aliyelitengeneza apewe sifa zake!

Fredy Saganda alieimba Rafael! Big up kwa kina mama manka na wachagga wote!

Nakumbuka mwalimu wangu mkuu shule ya msingi enzi hizo ndio alikuwa anapenda sana hilo neno ndorobo kwa Wale trouble head na back bencher!

Sent from JamiiForums
 
Back
Top Bottom