Ya Tupac na B.I.G kutokea kwa Diamond & Kiba

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
1,364
Reaction score
2,395
Kiukweli nasikia harufu na kila dalili za ugomvi uliosabisha kifo cha Tupac na B.I.G kutokea hapa TZ kwa ali kiba na Diamond. Kwasabu ya chuki zilizopandikizwa na Wanawake(Wema na Jokate)

Kuna Uhasama na chuki kubwa sana kati ya Mashabiki wa Diamond na Ali kiba. Nilikuwa Arusha ktk kumbi ya Disco na ilitokea Fujo kubwa sana na watu kuchomana visu kisa tu Dj alipiga mwimbo wa alikiba na aligoma kuubadili.

Chuki zilizopo sasa zinaweza leta mauaji kwa hawa wasanii wetu wakubwa, na taifa kubakia na majonzi. Inshu ya Kiba kuvamiwa na majambazi ni mfano tosha.

Inabidi kifanyike kitu. Mana hali kiukweli ni mbaya, kwa mwenendo huu natabiri ya Tupac na B.I.G kutokea, kama hatutobadilika.

Hizi team zitaleta M A U A J I
 
hawa wapaka hina na wabana pua ndio wapigane chuma hawa?!!!

Labda waende kwa sangoma kurogana tu sio chuma!!
 
Tatizo la ajira bongo watu wko biz na maisha ya watu badala ya kusaka dow"
 
Hakuna lolote ya muda haya yatapita tu,ila sema kama kutakuwa na wabaya wao wanaweza kutumia mwanya huo kuharibu upande 1 na ikaonekana ni yule wa upande mwingine hiyo inawezekana. Lakini rekebisha hapo kwa hawa madada haswa kwa upande wa maadui wa Diamond hawakuanza leo toka enzi zileeeeeeeeeeee anaanza kutoka huyu dogo amekuwa na nyota ya pande mbili zote kali nazo ni YA WANAOMPENDA SANA SANA NA ILE YA WANAOMCHUKIA SANA SANA haya mambo anayokutana nayo DIAMOND angekutana nayo kiba angeshapotea zamani kwenye game
 
yeah...uko right jombaa
 
Kiukweli nasikia harufu na kila dalili za ugomvi uliosabisha kifo cha Tupac na B.I.G kutokea hapa TZ kwa ali kiba na Diamond. Kwasabu ya chuki zilizopandikizwa na Wanawake(Wema na Jokate)

Kuna Uhasama na chuki kubwa sana kati ya Mashabiki wa Diamond na Ali kiba. Nilikuwa Arusha ktk kumbi ya Disco na ilitokea Fujo kubwa sana na watu kuchomana visu kisa tu Dj alipiga mwimbo wa alikiba na aligoma kuubadili.

Chuki zilizopo sasa zinaweza leta mauaji kwa hawa wasanii wetu wakubwa, na taifa kubakia na majonzi. Inshu ya Kiba kuvamiwa na majambazi ni mfano tosha.

Inabidi kifanyike kitu. Mana hali kiukweli ni mbaya, kwa mwenendo huu natabiri ya Tupac na B.I.G kutokea, kama hatutobadilika.

Hizi team zitaleta M A U A J I

Mkuu huko hatuwezi fika. ISHU ILIYOPO HAPA BONGO NI KWAMBA HAO WAGUMBA WANA MUONEA WIVU THE BOSS LADY.

MUNGU AKIWAJLIA WAKIPATA WATOTO. YOTE HAYA YATAISHA.

TRUST ME.

AS FOR KIBA., YEYE NDO ANAOMBEA KILA KUKICHA DIAMOND ASISHUKE KWANI UWEPO WAKE NA HLI BIFU NDO VINAMUWEKA KIBA MJINI. KINYUME NA HAPO KIBA ANGEKUA STORY.

THANX.
 
Kiukweli nasikia harufu na kila dalili za ugomvi uliosabisha kifo cha Tupac na B.I.G kutokea hapa TZ kwa ali kiba na Diamond. Kwasabu ya chuki zilizopandikizwa na Wanawake(Wema na Jokate)

Kuna Uhasama na chuki kubwa sana kati ya Mashabiki wa Diamond na Ali kiba. Nilikuwa Arusha ktk kumbi ya Disco na ilitokea Fujo kubwa sana na watu kuchomana visu kisa tu Dj alipiga mwimbo wa alikiba na aligoma kuubadili.

Chuki zilizopo sasa zinaweza leta mauaji kwa hawa wasanii wetu wakubwa, na taifa kubakia na majonzi. Inshu ya Kiba kuvamiwa na majambazi ni mfano tosha.

Inabidi kifanyike kitu. Mana hali kiukweli ni mbaya, kwa mwenendo huu natabiri ya Tupac na B.I.G kutokea, kama hatutobadilika.

Hizi team zitaleta M A U A J I

Samahan mtoa mada... club gani?
 
Hakuna lolote,mabifu ya wanawake hasa wa IG hivi kuna mwanaume utamkuta anapanic kisa dai na kiba,huu ushenzi wanao dada zetu tu
 
Kiukweli nasikia harufu na kila dalili za ugomvi uliosabisha kifo cha Tupac na B.I.G kutokea hapa TZ kwa ali kiba na Diamond. Kwasabu ya chuki zilizopandikizwa na Wanawake(Wema na Jokate)

Kuna Uhasama na chuki kubwa sana kati ya Mashabiki wa Diamond na Ali kiba. Nilikuwa Arusha ktk kumbi ya Disco na ilitokea Fujo kubwa sana na watu kuchomana visu kisa tu Dj alipiga mwimbo wa alikiba na aligoma kuubadili.

Chuki zilizopo sasa zinaweza leta mauaji kwa hawa wasanii wetu wakubwa, na taifa kubakia na majonzi. Inshu ya Kiba kuvamiwa na majambazi ni mfano tosha.

Inabidi kifanyike kitu. Mana hali kiukweli ni mbaya, kwa mwenendo huu natabiri ya Tupac na B.I.G kutokea, kama hatutobadilika.

Hizi team zitaleta M A U A J I

Kulishawahi kuwa na bifu la sister p na Zayb, lakini mpaka leo maisha yanaendelea
 
Back
Top Bottom