Vita dhidi ya Diamond ni kubwa kuliko tunavyofikiria

Vita dhidi ya Diamond ni kubwa kuliko tunavyofikiria

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,466
Hakuna ubishi kua kwa sasa diamond platnumz ndie msanii anae ongoza kupigwa vita kuliko msanii yeyote hapa nchini.

Vita hiyo ina ongozwa na baadhi ya walio wahi kuwa wapenzi wake pia na mahasimu wake wa kimuziki (wasanii wengine) kupitia mashabiki zao.

Sawa ni jambo la kawaida kwa wasanii wakubwa duniani na mastar wengine kama wachezaji,maboxer pamoja na waigizaji kuwa na maadui hili linathibitishwa na mfano wasanii kadhaa wa kimarekani walivyo na maadui mpaka inafikia kupigana risasi mfano 2pac,BIG,50cent,mayweather na wengine kibao.

Sababu kubwa za diamond kuanzishiwa vita "maalum" ili ashuke kimuziki na kimafanikio ni kutokana na maneno ya wengi eti kua anaringa,anadharau,ana nyodo,ana mamneno ya shombo,ana ropoka sana,mtoto wa uswahili,hajasoma,mchawi na visababu kedekede.

Wadadisi wa mambo wanasema kua chuki dhidi ya diamond si tu inatokana na sababu zilizo tajwa hapo juu bali inaenda mbali zaidi mapaka kwa team nzima ya diamond hasa mameneja wake.

hapa ni kwamba kwa sasa hakuna asie jua kua unapo ongelea mameneja wakali Tanzania una waongelea Babu tale na Said Fella,Mzozo unakuja pale ambapo kuna watu wanatamani kufika level za wakina Tale but wana chemka ndipo wanapo anzisha kampeni ya kuwaharibia hawa jamaa kwa kisingizio cha kua eti ni wanyonyaji,wana haribu soko la muziki wa bongo fleva na maneno kibao.

kiukweli hawa watu hawajawahi kushindwa kwenye menejimenti yao,kila msanii wanae mmeneji lazma afike mbali wangapi wamejaribu wakaishia njiani? mfano ustadh "juma na musoma",

Kwa hiyo tunapo itizama vita dhidi ya diamond tusidhani tu kua mashabiki ndio wanao tengeneza hii chuki bali ni mkono wa wadau wakubwa wa muziki hapa nchini wakishirikiana na media kadhaa kuhakikisha wana wapasua mashabiki kwa makusudi tu ili watimize malengo ya kuwamaliza wahasimu wao diamond Fella na babu Tale...!!

Tupingane kwa hoja na sio matusi!!
 
Mimi sikubaliani na hii kitu,zaidi naona muendelezo wa kujipaisha.
 
Walionifurahisha ni wale waliomchoma kwa yule mbunifu wa mavazi wa USA, matokeo yake yamekuwa kinyume na walivyotegemea. Maana jana kuna watu walishaanza kumwambia Dai ajiandae kufilisika kwa kulipishwa faini kubwa. Kilichotokea baada ya masaa machache ni mchafuko wa tumbo ulioambatana na kutapika kusikoisha kwa hao timu viherehere. Badala ya kumshusha wamejikuta wakimpaisha bila kutegemea. Hata huyo mbunifu kagundua kuwa alidanganywa kwa kuaminishwa kuwa Diamond ni mtu mdogo, kumbe ni mtu anayeweza kumpaisha kibiashara.
 
Yaani Maboso hakuna siku niliyokuwa na furaha kama jana!!mpaka leo nimeamka nayo!!diamond ananipa raha sana jamani
 
Last edited by a moderator:
Sio kila anayeandika uzi ni dada aisee!diamond ni rais wa wasanii bongo

Oh!sorry!Nilidhani vita inayosemwa ni ya warembo tu wanagombea sukari yao!Kama kuna watu wa jinsia tofauti waniwie radhi

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ni kweli vita waliyoianzisha kwa DIAMOND ni kubwa na haikuanza leo tangu enzi za FREEMASON,MARA MCHAWI (wakamuweka na mganga wao na kuna kamsanii fulani kakasema live kuwa na kenyewe kamelogwa na DIAMOND likadunda) wakaja na promo za madogo kurekodiwa bure ilimradi kama unamuimba DIAMOND ni bure kurekodi (hawa ma-producer waliokuwa wanafanya hivo wanajulikana lakini nao wamechemka) hawakuishia hapo wakaanza kila DIAMOND akitoa nyimbo vinazuka vijamaa vinasema katuibia nyimbo yetu tuliyomsikilizisha wakaeneza uvumi "eti DIAMOND hawezi kutunga ila kazi yake kuiba kazi za wenziwe tu, vikawa vinajitokeza visanii na kusema live ooohh mimi aliniibia wimbo fulani na fulani wakachoka ) hapo katikati wakaleta vitukio vidogo vidogo vikapita kwa mfano ; anategemea umaarufu kwa nani sijui SIWEMA sijui WEMA akamuacha bado akawa maarufu wakachoka.Sasa wakaamua kumleta huyu wa sasa sijui anaitwa nani ila kapanga Kunduchi huyu wa juzi kati aliyeibiwa, huyu ndo karata yao ya mwisho ndo mana wanajitahidi vyovyote itakavyokuwa ni lazima wafanikiwe lakini hadi sasa wanaelekea kushindwa kwa mara nyingine na ushahidi hupo ndani na nje ya nchi mifano ni Zari All White Party,London Royal Regency na Jembe ni Jembe Festival Mwanza. Hii inaonyesha kuwa kuna kelele za mitandaoni na kuna uhalisia ambao ni kuwa DIAMOND BADO YUPO JUU HAWATAKUBALI KIMAANDISHI ILA MIOYONI MWAO WASHAKUBALI
 
si kweli hata kidogo najua unatafuta kiki tu uonekane umeanzisha thread
acheni hizo nyieeee
mnajishtukia tu
wanafki wakubwa kisa cha yote tunzo tuuu mnajiwahi na ktma eeehhhh
pigeni kuraaaa
 
yaani uswahiki swahili mwingiiiiiii
cha maana hamna kuna watu mna viherhere vya kuanzisha nyuziiii
hongereni team daimond kwa hilo mmefanikiwa kwa kweli
ila kwenye upigaji wa kura zerooo
mxiuuuuuuiu zenu
wanafki wakubwa
zari white party tuliwasapoti mnoooo kiroho safiii tu
leo mnaleta unafki toeni unafki wenu hapa wachawi nyie
hamna haya ht kidogo nyie waone haooo
hamna lolote msitegemee wakisimama kiba na mondi nimshangilie mondi...neverrrrrrrrr eveeeee......
ht km dai ni mkali kias ganiiiii.....
ila ntamsapoti akisimama na outsider kwa kweli
wambea nyieeee
 
Makubwa! Hoja hujibiwa kwa hoja, Cc ChingaOne
 
Hahahahahahaa leo nina raha sana!
 
Hahahahahahaa leo nina raha sana!

hv ww nifah sio yule dada wa ile sijui inaitwa 'in my shoes'
eee kitu kama hicho manaake unamchukia mond ww hata sijui mnafahamiana au vp
daily ikitokea mtu kapost neno/maneno ya kumponda Dai lazima umpe booonge la kilo!
Isijekuwa ndio mwenyewe 'dada pendwa wa insta' aka stress za kuranduka!!!!
😜 usinitusi ni hisia tu...manaake!!!
 
Back
Top Bottom