Kiba mfano wa kuigwa

Kiba mfano wa kuigwa

Dr Aluta

Senior Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
121
Reaction score
39
siku ya jana kiba alifanya jambo ambalo si la kawaida kwa wasanii wengi.aliamua kuzunguka kwenye madalala ili aweze kuongea na mashabik wake. alianzia mbagala mpaka posta, kisha posta mpaka gongo la mboto. mwisho gongo la mboto mpaka mwenge. na katika gari analopanda nauli za abiria wote analipa yeye. kiba amewaonyesha wasanii weng wawe na shukran kwa mashabik wao pale wanapopewa support. tumeona wasanii weng wakibeba tuzo 5 na wengine zaid ya hizo. lakin shukran zao ni haba. leo atazunguka tena. hongera sana kiba.
 
Sawa yupo sawa lakini wewe unaleta dalilifulani ya majungu! mpongeze kwa chema chake wapo wengine pia wamefanya yao mema kwa jamii hata kushinda hilo, kikubwa ni kuwakumbusha kuwa wao nikama wengine, yeye kafanya hilo wengine wafanye jingine na sikwalengo la kusengenya au fimbo kwa mtufulani, PONGEZI SANA KIBA
 
nimekuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom