Cardinal06
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 963
- 327
Msanii huyo wa bongo fleva na mshindi wa KTMA 2014/15 Ali Kiba amesema hayo alipo ongea katika kipindi cha Leo tena cha Clouds Fm yeye hana nguvu kuzizuia timu za watu kwenye mitandao ya kijamii, na wala hajaungana na Wema ili kumchafua Diamond mitandaoni kwa sababu yeye hakubali kuwepo kwa kitu ugomvi mahali popote, ila kuna ishu ya wasanii wenyewe kutopeana support !!