Shekuna
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 688
- 549
Amini usiamini huyu kijana hakuna wa kumfananisha naye kwa sasa Afrika Mashariki na kati katika suala zima la muziki.Kafanya mambo makubwa ambayo hakuna msanii ambaye ameweza kuthubutu.Nimefuatilia KTMA-2015 naona jinsi Tanzania tulivyojidhalilisha kwa kushndwa kumpa dogo haki yake na wao wenyewe wamelithibitisha hilo.nchi za watu wanatushangaa
MY TAKE:Huwezi mfananisha hako kasanii kenu mnakokaita Mwana na huyu bwamdogo kiuchumi,kimuziki na kila ktu.Watanzania acheni kuishangaza dunia kwa kumponda mtu ambaye amekuza muziki wa bongo fleva ufahamike kila kona duniani
NB:SINA USHABIKI NA TEAM'S